Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.

Africa tuna kazi sana kwa kweli
 
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF
Africa tuna kazi sana kwa kweli
Shida siyo wachina. Shida ni viongozi wasio na maono. Hivi Ulaya wakiwa na mawazo kama haya Waafrica waliokimbilia huko kilazima watafanyaje?
 
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF
Africa tuna kazi sana kwa kweli
Nakupa miezi sita utarudi kutaka kufuta uzi. Mlisema hivi hivi kwa rais wa Malawi yule mpinzani wa zamani kisa alikuwa na ahadi feki nyingi. Waafrika ni walewale
 
Wapinzani huwa wanakuja na ahadi kedekede wataishia kuteua kaka dada shangazi mkwe hawala kuwa balozi sijui waziri nk Tuangalie Malawi na hapa nyumbani.

Wanasiasa wa Africa ni zaidi ya cancer.

Africa arudi mkoloni tutakuwa salama sio hizi chaguzi za kupoteza pesa za walipa kodi
 
Kwani hawalipi kodi?kwani wamempokonya mtu hela? Kwani hawaajiri waZambia?kwani wananyanyasa raia wa Zambia?

Afrika hatutakuja kuendelea
Mchina sio mzungu hadi uwape vigezo vinavyofanana. Mchina halipi kodi na akilipa amekwepa nyingi tayari, viwanda vyao vingi havina tija kubwa kwa nchi na hizo ajira unazozungumza ni ndoto kupata ajira ya kueleweka kwao.

Kifupi ni wachina ni kupe tu, wapinzani wakishinda wafanye kweli kuwatimua tu.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom