zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni

    Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametemebelea eneo la magomeni katika nyumba aliyowahi kuishi wakati wa harakati za ukombozi wa Namibia kupitia chama cha SWAPO. Katika ziara hiyo ya kipekee iliyochanganya...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya Zamani Ilikuwa Mbele Kuliko Bara – Kwa Nini Leo Imerudi Nyuma?

    Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
  4. JamiiForums Tanzania Aisee leo controla ameandika uzi imenipa flashbacks za JF ya zamani ilivyokuwa informative

    https://www.jamiiforums.com/threads/ukosefu-wa-vifaa-kwa-wapima-ardhi-land-surveyors-ni-sababu-kuu-ya-kuwa-na-gharama-kubwa-katika-upimaji-ardhi.2446047/ Yani nimesma huu uzi nikajihisi kama niko darasani. 8 years ago JF ilikuwa ni kama online books, I dont know what really changed here ila...
  5. JamiiForums Tanzania Zamani nilipokuwa South Africa, leo na gundua kwamba wa Zanzibar wakiwa huku wanajiona ni watu Kenya toka Mombasa

    Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania. Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya. Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka nyuma sana ila leo kwa kauli zao zinaonesha ukweli. Kuwa muungano huu mkilazimisha kinachofata...
  6. JamiiForums Tanzania Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

    Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile. Kwa upande mwingine, wasanii wa...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Chris Cyrilo: Omar Kashera amenitafakarisha wakati akimuhoji mkuu wa Polisi wa zamani Omar Mahita

    Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano? Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  9. JamiiForums Tanzania Je, tuliambiwa kinachoendelea South Africa ni AI na video za zamani, je Bado Kauli hio inasimama?

    ..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje. Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea, foreigners wanapigwa, Mozambique, Nigeria, na nchi nyingine wananchi wanaomba kurudi makwao mana...
  10. JamiiForums Tanzania Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

    Je ulitokea mtu uliemuaamini ukatumiwa au kugundua "mafile" yake yasiyopendeza machoni utachukua hatua gani? Kwa zama hizi za technology ambazo hawasimulii tu Kwa kinywa Bali Kuna ushahidi wa picha,videos nk Au response itategemea na ukubwa wa file na uzito wake?😊 Na ikiwa tayari ushaingia nae...
  11. JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  12. JamiiForums Tanzania Tangu niache tungi, washkaji zangu nao wamenikimbia hawanipi dili kama zamani

    Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi. Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani. Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
  13. JamiiForums Tanzania Unachokipitia sasa ni matokeo ya kile ambacho ulikianzisha zamani

    Dunia kwa ujumla wake ni sehemu ya matokeo yaliyo na sababu fulani. Hakuna jambo lolote duniani ambalo linaweza kumkuta mtu au kutokea kwa bahati mbaya, bali kila jambo ambalo linamkuta mtu au linatokea jua ni matokea ya sababu au vyanzo vya kale. Kwa maana hiyo basi, dunia haijawahi mtendea...
  14. JamiiForums Tanzania Fundi wa kukarabati nyumba ya zamani iwe ya kisasa

    Habari. Nina nyumba ina vyumba vitatu vta kulala, dining, siting room na public toilet. Nahitaji fundi anayeweza Kuikarabati iwe ya kisasa kidogo maana lengo langu ni kupata master na jiko moja upande mwingine anitengenezee master jiko na sebule kama itawezekana. Ahsante. Eneo liko Dar es...
  15. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Waziri wa zamani ahukumiwa miaka 5 jela kwa wizi wa fedha

    Waziri wa zamani wa serikali nchini Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za umma, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ulioshuhudiwa na shirika la habari la AFP Machi 27, 2026 Uamuzi huo unafuatia kesi ya awali ambapo watumishi wanne wa umma kutoka...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  17. JamiiForums Tanzania Matapeli wa zamani wa Kyela, Maskita na Mwamkenja walipotelea wapi?

    Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia Hawa watu walitikisa mno Kyela kwa utapeli Wao Je walikufa Au...
  18. JamiiForums Tanzania Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Madikteta Wapya hakuwasafishi Madikteta wa Zamani

    Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Nchi yetu kwa Mwezi ule wa 3 miaka kadhaa iliyopita. Bado tunaamini atatenda tena kwa njia zake, Maana Mungu haishiwi mipango. Tuna amini kwamba kilichomkuta Dikteta Jiwe kitawakuta hata Hawa Madikteta Wapya, Mungu hataniwi, Huwezi kuua maelfu ambao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…