Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

Heart Wood.

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
913
995
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.

Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.

Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.

Stop this please.!
 
Ni bora wafute namba kama kwao inawagharimu kuzilipia kuliko kuigawa kwa mtu mwingine, option nyingine waweke fee basi mtu akitaka kurudisha namba ambayo ilishafutwa kwenye system!
 
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.

Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.

Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.

Stop this please.!
Kwa kifupi kinachofanywa ni uhuni. Si waunde namba mpya wampe mteja, kwani lazima ambayo imeshatumika? Wakitaka kujua namba zipi zipo active si system inaonyesha? Wenzetu wapo ktk teknolojia ya AI sisi bado tunagombania cheap.
 
Hii ni kwa makampuni yote ya simu,
Kama hujaitumia laini yako kwa miezi sita, namba inafutwa sokoni.
Hii inafanyika ili kutoa takwimu halisi za watumiaji wa simu.
 
Kwani ile user agreement ilisema nini? Unaweza kuta ni usumbufu sawa ila kisheria wakawa wapo fresh.
 
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.

Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.

Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.

Stop this please.!
Wanazingua sana. Nikienda nchi flani kusoma miaka 3, nikirudi nakuta namba si yangu tena
 
Hiki kitendo kibaya sana mimi VODACOM walitoa namba yangu kwa mtu ikiwana naTshs 35,000. Nikawahama mazima sintokuja kutumia VODACOm maisha yangu yoote.
Ukienda Vodacom unaweza kupata io 35k yako. Japo namba hutorudishiwa
 
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.

Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.

Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.

Stop this please.!
Ukosahihi mkuu. Mimi kuna watu walituma michango ya harusi kwa mwingine wakifikiri ni mimi kumbe jamaa yupo Kigoma anapokea michango mimi nipo Dsm kutokana na kugawa na ya mtu kwa mteja mpya
 
Wanazani umekufa ndo maana wanampa mtu mwingine
Ushawahi ONA QR code inayojirudia kwa mtu zaidi ya mmoja? Hilo ni kosa kisheria unaweza ukawashtaki ukiwa km data subject ingawa kuna Sheria Ile ilikua inasema usipoitumia zaidi ya Miezi 3/6 wanaifunga
 
Wanazingua na nakosa mantiki ya kusajili hizi sim card kwa alama za vidole. Kitu umepewa kwa kuhusisha alama za vidole ila bado hakiwi chako permanent
 
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.

Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.

Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.

Stop this please.!
Namba za simu ni depletable resource, zinaisha siyo infinite.
Unakuwa una hold resource usiyo itumia.
Kuna range flani ya namba wanapewa hivyo wakiachia zipotee hivi hivi wateja wapya watakosa namba.
 
Kama inafutwa kwa nini namba hiyohiyo hupewa tena mtu mwingine?
Kuna kitu wanaita "Mobile prefix"
Mfano vodacom wana
074*******(kuna laini zina anzia 0743*,0744**,0746***** na kuendelea)
075*******(kuna laini zina anzia 0754*, 0755*, 0756*, 0757*,0758*,0759***)
076*******(kuna laini zina anzia 0767******, 0768*******, )

Ni sawa na masafa ya radio/TV
Haya masafa/ hizi codes kampuni za simu ziomba kutoka TCRA na wanalipia.

Sasa basi,
Kutorudisha namba ya zamani kwa mwingine ni kujaza hayo masafa na wao kulazimika kuomba masafa mengine labda 077*******.
 
Back
Top Bottom