Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

3 Angels message

JF-Expert Member
Aug 3, 2017
4,876
13,549
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.

Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.

“Tunavishukuru vyombo vya habari vimekuwa na sisi toka siku ya kwanza kuwahabarisha Watanzania, hata tukio hili mnalirusha duniani kote. Mpaka jana jioni tunazo taarifa watu waliofuatilia tukio la kuaga kitaifa jana Dodoma ni zaidi ya watu bilioni 3.9”
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
 
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni

Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja
Kumbe wamezidi hatawale wanao fuatilia kombe la dunia world Cup. KWELI JPM NI BABA wa Africa.
 
19589663-4853-4901-81E7-1E6BC6ACACBE.jpeg
 
Back
Top Bottom