yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wapendwa yule mtabiri wa asili wa neema na balaa maarufu Kakakuona yuko wapi siku hizu?

    Heri ya mwaka mpya 2022. Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea. Kwenye mada. Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama. Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu. Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Very soon tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya

    Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya..... Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi furaha kwa kunguru. Wacha wararuane....
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yule Mama akaniambia; umekosea kuwahi kuoa. Je, yuko sahihi?

    Kwema Wakuu! Kama mada isemavyo! Juzi nimeenda kununua Dawa Kama mnavyojua jijini DSM kuna vihoma mshenzi vinavyoendelea. Nilipofika Duka la Dawa nikapokelewa na Mama mmoja mtu mzima, ni Daktari. Akanikaribisha Kwa bashasha zote. Huku akinambia ananionaga na Mdada mmoja, akaniuliza ni mke...
  6. babukijana

    JamiiForums Tanzania Le mutuz yuko wapi?

    A.k.a Field marshal, Sauti ya umeme, Toka NYC beibi. Mzee wa Noah Mzee wa mabebez. Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe. Mpk leo kimyaaa. Alikua mwenzetu hapa,siku hizi kajikata mazima. Hana bando au? Huko aliko mwambieni anahitajika hapa A.S.A.P.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

    Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa! Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani! Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda?
  8. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Wako mtandaoni wanapiga domo, Mama Yuko Kazini anajenga nchi

    CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo. Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia. Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma ya uozo Shule za Wazazi (CCM)?

    Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi. Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

    Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia. Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine? Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko hivi na kuelewa hivi kuanzia leo

    Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe. Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

    Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania. Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza. Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka. CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwendeni zenu huko 'Wanafiki' wakubwa nyie, Dk. Kimei yuko sahihi tena 100%

    Kauli ya Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo inaonekana kuchafua hali ya hewa ambapo kikundi cha wazee kutoka jimboni humo kimejitokeza na kutoa tamko kali dhidi yake. Katika tamko hilo, wazee hao wa kichaga wamelaani kauli hiyo na kwamba wanachukulia...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Rick Ross yuko makini sana na afya yake

    Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake. Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga. Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
  16. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko kazini kuiokoa Sekta ya Utalii baada ya UVIKO 19

    Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa. lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo. Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa...
  17. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu Samia yuko Imara

    Kuna video inasambazwa ikionesha Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuyumba kidogo. Wengi wanaopost video hiyo wanatia chumvi ionekane kwamba Amiri Jeshi Mkuu ana shida ya kiafya. Majibu kutoka Jeshini: 1. Hakuanguka. Kumbukeni pale ndio alikuwa anaingia kwenye shughuli na alionekana akiendelea na kazi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

    Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria. Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama. Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mama mdogo wa kutesti mitambo yuko wapi wadau?

    Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam!
  20. C

    JamiiForums Tanzania Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
Back
Top Bottom