yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mchizi Mox?

    Huyu jamaa alivuma sana na ngoma alizoshirikiana na ngoma na Marehemu Ngwair kama vile demu wangu na Mitungi. Kuna muda wakawa na mgogoro ambapo ilisemekana Mchizi mox ndiye aliyeandika wimbo wa mitungi, Ngwair akaupenda akamwachia kwa makubaliano flani ambayo Ngwair hakutimiza. Ngoma yake...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

    Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Huyu Rafiki Yuko Wapi

    We misss her
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Sauda Mwilima?

    Siku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
  5. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko wapi? Kimya sana, kulikoni?

    Salaam Wakuu; Waziri Mkuu kawa kimya sana miezi ya karibuni, tatizo ni Nini? Hii Hali ni tofauti na mwanzo alikua akitoa ushirikiano na kila wakati tutamsikia kwenye media akieleza mambo kadhaa na kukagua miradi ya serikali, sasa haonekani Tena! Nini shida?
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Producer Mona Gangster?

    Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k. Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi hizo. Mara ghafla sisikii hata ngoma moja toka kwake? Kwa anayejua hivi bado studio yake ipo...
  7. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

    Mzuka wanajamvi! Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi. Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
  9. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi afisa habari wa yanga Haji Sande Manara?

    Habari Jf Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale Haji yule wa simba aliyehamia...
  10. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wapendwa yule mtabiri wa asili wa neema na balaa maarufu Kakakuona yuko wapi siku hizu?

    Heri ya mwaka mpya 2022. Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea. Kwenye mada. Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama. Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu. Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
  13. babukijana

    JamiiForums Tanzania Le mutuz yuko wapi?

    A.k.a Field marshal, Sauti ya umeme, Toka NYC beibi. Mzee wa Noah Mzee wa mabebez. Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe. Mpk leo kimyaaa. Alikua mwenzetu hapa,siku hizi kajikata mazima. Hana bando au? Huko aliko mwambieni anahitajika hapa A.S.A.P.
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

    Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia. Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine? Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mama mdogo wa kutesti mitambo yuko wapi wadau?

    Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam!
  17. C

    JamiiForums Tanzania Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

    Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  20. The Garang

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

    Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
Back
Top Bottom