yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magwangala

    Yuko wapi Ustaadh Shaban Omary aliyekuwa akipatikana Chang'ombe Unubini?

    Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition? Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
  2. Stuxnet

    Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

    Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi Hakuwepo katika...
  3. saidoo25

    Job Yustino Ndugai yuko wapi

    Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
  4. The Humble Dreamer

    Mzee Lowassa yuko wapi?

    Wakuu Salaam; Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana. Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani. Anayejua yuko wapi...
  5. M

    MAMVI tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona kimya?

    Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
  6. ragin

    Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

    Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
  7. M

    Yuko wapi Mohamed Ndolanga? Alishiriki kuuza ardhi ya Loliondo kwa mwarabu kipindi cha utawala wa Mwinyi. Damu ya wamasai ipo naye

    Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu 👇
  8. fullcup

    Ndesambulo yuko wapi?

    Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti. Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na kusema " Ndesambulo" Sasa naomba wanabodi mnijuze huyu alikuwa au ni nani na yupo wapi anafanya nini...
  9. Mavipunda

    Yuko wapi msanii "Mtunis"?

    Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia. Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
  10. Kipenzi Changu

    Hujafa hujaumbika

    Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake. Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana. Huu usemi wa hujafa...
  11. Kelvin X

    Yuko wapi Lisa Jensen?

    Mwanadada huyu yuko wapi, alishiriki Miss Tanzania na kina Wema na Jokate.
  12. T

    Yuko wapi Tally Hunter

    Wakuu yuko wapi Tally Hunter? msaada tafadhali
  13. kyagata

    Hivi Suma G yuko wapi?

    Huyu mshikaji alikua na ngoma yake inaitwa Mshikaji demu wako ananitaka. Yupo wapi huyu mwamba siku hizi?
  14. Masokotz

    Yuko Wapi John Stephen Akhwari

    Mimi si mfuatiliaji sana wa sports na riadha Ila ningependa kufahamu alipo huyu LEGEND aitwaye John Stephen Akhwari
  15. Nafaka

    Wako wapi Bou Nako na Ibra Da Hustler?

    Hawa jamaa walikuwa vizuri sana enzi za kundi la Nako2nako. Mfano Ibra nadhani alikuwa anakubalika kuliko hata G Nako. Ila siki hizi siwasikii kabisa. Hivi bado wanafanya mziki au waliachana na hii fani?
  16. Nafaka

    Yuko wapi Mchizi Mox?

    Huyu jamaa alivuma sana na ngoma alizoshirikiana na ngoma na Marehemu Ngwair kama vile demu wangu na Mitungi. Kuna muda wakawa na mgogoro ambapo ilisemekana Mchizi mox ndiye aliyeandika wimbo wa mitungi, Ngwair akaupenda akamwachia kwa makubaliano flani ambayo Ngwair hakutimiza. Ngoma yake...
  17. H

    Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

    Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
  18. Faana

    Huyu Rafiki Yuko Wapi

    We misss her
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Yuko wapi Sauda Mwilima?

    Siku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
  20. The Humble Dreamer

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko wapi? Kimya sana, kulikoni?

    Salaam Wakuu; Waziri Mkuu kawa kimya sana miezi ya karibuni, tatizo ni Nini? Hii Hali ni tofauti na mwanzo alikua akitoa ushirikiano na kila wakati tutamsikia kwenye media akieleza mambo kadhaa na kukagua miradi ya serikali, sasa haonekani Tena! Nini shida?
Back
Top Bottom