yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi msanii Jos Mtambo?

    Shabiki wake nimem miss sana. Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
  2. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

    ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aida Khenani yuko wapi?

    Tangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya. Mwenyekiti wake anafunguliwa mashtaka ya ugaidi bado yuko kimya. Lakini wakati haya yanaendelea anafungua mashindano ya Aida...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

    Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa. Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Kangi Lugola aka Mabendera?

    Kimyaaaa.
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi gwiji wa hoja Return of Undertaker?

    Kiukweli kuna wadau wa hapa jf ambao ukiwakosa kwa muda mrefu lazima ujiulize. Huyu Return Of Undertaker amepotelea wapi?
  7. Ntovye

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    Habari Wana jamvi. Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita. Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Huru yuko wapi?

    Alikuwa mhabarishaji mwema hapa JF, siku nyingi simuoni kuandika hapa JF, yuko wapi jamani?
  9. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mbunge wa Newala mjini, Kapteni Mkuchika?

    Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Askofu Kakobe?

    Anaitwa askofu Kakobe, nina siku nyingi sijamsikia tangu pale alipounga mkono juhudi za mwendazake.
  11. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!? Leo 15:15hrs 14/05/2021 Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi sasa?

    Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio. Yuko wapi sasa? Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine. Yuko wapi sasa? Aliye niblock kwenye simu ili nilimpigia au kutuma sms zisimufikie. Yuko wapi sasa?.
Back
Top Bottom