Yuko wapi msanii "Mtunis"?

Mavipunda

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
6,916
7,520
Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia.

Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai yeye alisomea masuala ya utengenezaji wa ndege kule South Africa.

Je huyu msanii yuko wapi kwa sasa au amerudia kazi yake ya uganga wa kienyeji.
 
Anajipodoa sana yule bwege itakuwa amefichwa na wamama au mwarabu mmoja kampeleka Dubai maana ndio mambo yao siku hizi.

Ukisikia mtu analelewa na jomama ovopa sana wengi huwa mapunga wwnauzwa na wale wamama sema anajifanya yule mama ndio mtunwake ili kuficha ungese wao.
 
kuna mmoja pia alikuwa msanii wa bongo muvi mweupe hivi kakaa kiupole sana..
naskia alikuwa anabadili demu kwa siku mara 3 km dozi ya asprini (sorry mzee asprin).
hadi mwenyekiti wa mtaa na balozi waliitwa na mwenyenyumba waje kumuonya!!simkumbuki jina ila uzi wake uko humu niliusoma.

na yule jamaa mwingine jina lake la kitajiri kila guest huko daslam walikuwa hawataki kumkodishia room sbb alikuwa anazichafua kwa majitaka ya mtaroni.
 
Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia.
Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai yeye alisomea masuala ya utengenezaji wa ndege kule South Africa.
Je huyu msanii yuko wapi kwa sasa au amerudia kazi yake ya uganga wa kienyeji.
Atakuwa south korea akitengeneza ndege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom