Yupo Dar huwa anaonekana mara moja moja ameolewa na anawatoto wawil nadhani
Ondoa upuuzi wako
mbezi ipi dada mtuYuko hapa mbezi tunaishi nae mtaa mmoja...kaolewa with two kids
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Naona unataka coordinates kabisambezi ipi dada mtu
Sema uyu alituliaga.Alikuwaga Mali Safi sana sema umri haijawahi kumuacha mtu salama
Imaelekea huo mtaa ni wa pisi kali tuu...tupe connection mremboYuko hapa mbezi tunaishi nae mtaa mmoja...kaolewa with two kids
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app