yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapigo yangu ya kizee kuna siku totoz huwa zinajogonga

    Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue. Sometimes nagonga kaunda suti na mokasini za kisasa. Mkononi huwa sikosi magazeti, kwa siku nanunua magazeti kama matano...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza IST yangu

    CC 1290 Year 2005 In Mint condition Full doc. file Bei 9.8m (maongezi yapo) Watsap 0715140001
  3. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Mwanza

    Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari. Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha. Tumefika sehemu Morog kufukia...
  4. JamiiForums Tanzania Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

    Mambo vp jamiiforums Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo. Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema...
  5. JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufungua tuition na nursery School

    Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport, NAHITAJI support, Contact, Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com Whatsup: +25576736103
  6. JamiiForums Tanzania Experience yangu mbaya na gari za Toyota

    Katika kufanya diagnosis na kurekebisha matatizo mbali mbali kwenye magari. Asilimia kubwa ya gari nilizokutana nazo ni gari za japan mathalani gari za toyota japo nishakutana pia na gari za ulaya kama BMW, Land Rover na VW na gari za US kama Jeep na Ford. Experience yangu mbaya kwenye kufanya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu wakati tunalalamika viburi vya watawala

    Wakati tunalalamikia viburi vya watawala, naomba niwakumbushe ukweli huu: Mwenyezi Mungu alietuumba, hakumpa mtu mmoja kila kitu kwani alijua hatari ya kufanya hivyo. Lakini sisi wanadamu, kwa udhaifu wetu, tumewapa watu/watawala mamlaka ya kuamua na kutenda karibu kila jambo linalotuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la Rwanda sasa ni Imani yangu Jeshi la Polisi la Tanzania litaimarika zaidi na kubadilika kiuweledi

    IGP Sirro umeona mbali sana na GENTAMYCINE nakupongeza kwa Kuomba 'Ushirikiano' wa Kiuzoefu na Kiuweledi kutoka kwa Jeshi bora la Polisi Afrika la Rwanda nchi iliyobarikiwa kama ilivyobarikiwa nchi ya Israeli. Kwakuwa IGP Sirro wa TP ameanza nawaomba na akina Msuya wa SSIT na Mabeyo wa ZTWJ nao...
  9. JamiiForums Tanzania Jirani yangu tajiri mwenye maringo anataka mimi nitembee kwenda kwake nitumie nauli yangu lakini yeye ananitumia vijakazi wake

    Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha. Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake ili atunze hela za watoto wake inabidi pia hata mimi nitume mtoto wangu aliyeko huko hakuna haja ya...
  10. JamiiForums Tanzania Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Habari zenu wanajamii Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Msichana wa Kazi wa Jirani yangu ana tabia hizi je, atakuwa anasumbuliwa na tatizo gani labda?

    Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake. Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua funua Nguo yake ( Dela ) huku akijiangalia Matiti yake na Makalio yake ambayo hata hivyo Mwenyezi Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Hili nimeliona peke yangu tu au?

    Kila mara tu nimwonapo Mama yetu wa Kizanzibari akikutana na Mzee Wetu Mstaafu wa Pwani Bagamoyo naona huwa anafurahi na kuwa na 'Bashasha' nyingi sana zenye Mithili ya Kimahaba ( Upendo wa Kibaiolojia ) zaidi. Binafsi natamani mno kama hawa ( huyu Mama Mzanzibari na Mzee wa Kipwani ) kama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

    Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu. Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu. Mzee Mwinyi anasema...
  14. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kwanza na Air Tanzania

    Amani iwe kwenu wadau wa JF. Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu yangu yaelekea kufanikiwa

    Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu zinazohusu mtoto kitu ambacho sikuridhika nacho Nlichokifanya nilimpigia simu mama mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

    Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni. Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA SC TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA. 1. KUTEMBEA KIFUA WAZI 2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  18. JamiiForums Tanzania Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

    Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka. Napendelea rangi hizi (black...
  19. JamiiForums Tanzania Je, niliyestushwa na hii kauli 'tata' ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogole ni peke yangu tu au tupo wengi? Mama kuwa makini sana!

    " Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi " Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…