yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ipe bajeti nyumba ya ndoto yangu

  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

    Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ombwe la uongozi litaendelea kukita mizizi iwapo sifa hizi za ndani hazitahuishwa

    Wapendwa salam, amani iwe kwenu. Mwaka 2007 nilitamani sana kuwa kiongozi mahali fulani.Nikiri kuwa ndani ya nafsi yangu kwa dhati nilidhamiria kuitenda kazi ile kwa bidii,uaminifu na moyo wa kujituma. Kwa kuwa nafasi ile ilikuwa ni ya kupigiwa kura kulikuwa na 100% ya kushinda au kushindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana. Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

    Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Nguvu yangu ni Serikali, na mimi ndiyo Serikali yenyewe

    NGUVU YANGU NI SERIKALI, NA MIMI NDIYO SERIKALI YENYEWE! Nilipokuwa mdogo, sikuwa natambua umuhimu, ama kazi za koki ya bomba la maji kwasababu mara zote niliona mabomba hususani sehemu za umma yakitiririsha maji lakini maji hayo yalidhibitiwa kwa vitu vingine tofauti kabisa na koki, ambapo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

    Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo na anamtoa na kuleta usumbufu
  9. JamiiForums Tanzania Buriani Rafiki Yangu Waziri ''Maestro" Ally

    BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu. Kifo hakizoeleki hata kidogo. Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa. Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

    Lema kupitia space anasema "Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke...
  11. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kwenda Burundi imeiva

    Twenzetu burundi...!
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

    habar ndugu zangu natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili. kibaya zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

    Habari wadau..! Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi . Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa. Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuhamia imani yangu ili tufunge ndoa

    Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
  16. JamiiForums Tanzania Athari za Ongezeko la Tozo mpya za Miamala ya Simu kwa Watanzania

    Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania 1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  18. JamiiForums Tanzania Hatma ya elimu yangu

    .
  19. JamiiForums Tanzania Akili yangu (sehemu ya 1)

    AKILI YANGU ni tafakari zenye maneno machache ya kuhamasisha katika maisha ya kila siku. Sehemu ya kwanza 👉MAISHA HAYANA FOMULA Msemo huu humaanisha katika maisha hakuna anayeijua kesho yake na akaweza kuiandaa. Wote tunaishi kwa kubahatisha. Hivyo ni vizuri kuishi kwa kuyatazama malengo...
  20. JamiiForums Tanzania Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini. Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…