Malalamiko ya wana MMU kwenye Hoja Yangu kuwa ''Mwanaume kama huna akili usioe''

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani.

2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi wanafundishwa jinsi ya kumtuza mwanaume kitu ambacho kikweli ni kidogo sana na ziada maana upendo hujiongoza.

Hivyo basi natamani kuwaambia kaka zangu kwamba licha ya kupewa karama ya uongozi na Mungu mwenyewe wengi wenu hawana maarifa ya kuwa viongozi.

Huwezi kuwa kiongozi bora bila kutambua aina ya watu unaowaongoza wajue kwanza kisha chagua mmoja muongoze.
Kuwajua wengine ni maarifa kujijua wewe hiyo ni hekima.

Kwa hiyo jambo la msingi ni Ufahamu (Maarifa) na hekima. Ukiwa na haya mawili utajua wapi useme nini na wapi ukae kimya wapi ufanye nini wapi usifanye lakini pia utakuwa na uwezo wa kujidhibiti hasira au maamuzi yoyote ya kijinga ambayo yanaweza kugharimu utulivu wenu.

Kinyume na hapo huo mnaoita upendo unaweza kugeuka matendo ya mateso lakini kubwa zaidi ni kutambuana kwamba mwenza wako ni nani ipi nafasi yake kwako

Kwanini uko naye, tafsiri ya upendo kwake ni ipi na vipi vyaweza kuwa vipaumbele vyake na mengine kama hayo.
 
Nawashauri wanaume:
Watafute ela - hakuna mzee wa miaka 60.
Tafuta ela V8 Sio gari za Selekari.
Tafuta ela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe.
Tafuta ela uache kusema weka chipsi za kushiba.
Tafuta ela weekend sio siku ya kufua.
Tafuta ela kuku ana vipande viwili tu.
Tafuta ela uache kununua nguo kwa kuinama.
Tafuta ela mb500 sio za kutumia wiki.
Tafuta ela uache kujitambulisha sana.
Tafuta ela huna ndugu wachache hivo.
Tafuta ela hakuna mwanamke anaechoka usiku.
Tafuta ela mwanamke hakai mbali na simu ww.
Tafuta ela hata maharage uwa yanapikiwa kwenye jiko la gesi.
Tafuta ela hayo malalamiko yote ya wanawake yataisha bila kununiwa.
 
Nawashauri wanaume watafute ela hakuna mzee wa miaka60.
Tafuta ela V8 Sio gari za selikari.
Tafuta ela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe.
Tafuta ela uache kusema weka chipsi za kushiba.
Tafuta ela weekend sio siku ya kufua.
Tafuta ela kuku ana vipande viwili tu.
Tafuta ela uache kununua nguo kwa kuinama.
Tafuta ela mb500 sio za kutumia wiki.
Tafuta ela uache kujitambulisha sana.
Tafuta ela huna ndugu wachache hivo.
Tafuta ela hakuna mwanamke anaechoka usiku.
Tafuta ela mwanamke hakai mbali na simu ww.
Tafuta ela hata maharage uwa yanapikiwa kwenye jiko la gesi.
Tafuta ela hayo malalamiko yote ya wanawake yataisha bila kununiwa.
note taken

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom