Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
1,873
2,000
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
 
fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
7,489
2,000
pole ila pambana tu utafute za kwako mi hata leo hii babaangu akiuza kiwanja chake asiponipa hata mia siwezi kumlaumu sababu n maLi yake japokua ana haki ya kunipa na kunishirikisha ila kama kakuweka kando achana nae tuu
afu nani kakuambia ukiwa na elimu ndo unapewa kipaumbele kwenye kila kitu
 
Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,891
2,000
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
huna akil, wangekuua tu, make huna faida
 
Baba Vladmir

Senior Member
Aug 31, 2021
112
250
Sasa unahangaikia mali ya mzee ya nini? Achana naye upambane upate vya kwako.Mzee amekusomesha bado unataka urithi kumbuka huyo bado hajafa,hakuna atakayekusaidia maana uko kinyume ndo maana kila mtu anakushangaa.Bora kama mzee angekuwa keshafariki unapigania urithi.....mtu ameuza nyumba yake pengine ana jambo la kufanya wewe unataka mgao?? Are you serious Man .Uko na 42 harafu una mawazo haya kweli acha hizo mtoto wa kiume muache mzee afanye mambo yako.Kwenye hilo utafika mpaka taifani bila msaada kila mtu atakuwa anakushambulia wewe tu....eti baba kauza nyumba nataka anigawie nikaanze maisha,miaka 42!! Kuna kitu hakiko sawa ndo maana hata mzee anakupuuza!! Fafanua vizuri kuna kitu unaficha
 
Battor

JF-Expert Member
Mar 21, 2019
590
1,000
Mkuu unaudhalilisha uanaume, Miaka 42 unaiwaza mali ya baba ako yeye mwenyewe amegoma kukupa kwa hiari yake, nakushauri tumia elimu aliyokupatia kuzisaka na wewe hizo mali alizopata yeye.
 
kudot2020

Senior Member
Jan 8, 2020
100
250
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Khaaa!!! Jitafakar ndg yng me binafs naona unashda mahali!!!(samahn sn) lkn kwa jinsi unavyojieleza Mzee wako yuko sahh kutokukupa mgao!! Hatahivyo nyumba aliyo uza baba yko ni yake na wala c yako!!! Yaan haikuhusu!!

Huo mgao apende yy kukugaia na jinsi unavyozd kumburuza kwa viongoz na kumsanua Mzee ndo unazd kumsogeza mbali kwenye maisha yako!!! Jiangalie sn shetan asije akakuzd nguvu ukamtnda ubaya Mzee wako; hakika hutabaki salama maisha yote!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom