yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Nchi yangu

    Nchi yangu ya Demokrasia 🤣🤣🤣🤣🤣
  2. G

    Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  3. W

    Nilimsamehe ila anakosea kudhani nimesahau: ndugu yangu aliewahi kunirubuni pesa anachukia ninapomchunguza anaponiomba pesa, je nakosea ?

    nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia. Nilipokuja kugundua na kupata ushahidi nilisikitika sana, aliniomba msamaha nilimsamehe lakini...
  4. maoni yangu: chadema angalieni mbali!

    wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote atakaye kuja atapigiwa kura, hivyo fanyeni kila muwezalo msiharibu chadema kwani 2030 kama mkiwa imara na...
  5. Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  6. EP yangu , ENDLESS LOVE , sikiliza Kisha naomba utoe maoni

    Hii ni EP yangu Mimi Itakiamo AKA Dj Tamil nimeifanya kwa Artificial intelligence. Walioimba kwenye hizi nyimbo nitawapa majina ya kufikirika. List ya nyimbo 1. Kila Saa Dj Tamil ft Reygirl 2.Nipende mie Dj Tamil ft CeeMusik 3. Stay with me Dj Tamil ft Robert 4. Wewe ni wangu Dj Tamil ft Suzie...
  7. Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

    Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na...
  8. Mapendekezo yangu maboresho ya simba

    Habari za muda huu Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi) 1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau 2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na...
  9. Maoni yangu kuhusu eRITA

    Technical UX Feedback kwa Mfumo wa eRITA leo nilikua napitia huu mfumo wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo lakini kuna baadhi ya vitu nimekutana navyo upande wa UI/UX (user interface na user experience) kwangu mimi kama front end developer nimeona baadhi ya maeneo kama date (both birth and...
  10. M

    Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  11. Acha nitulie sasa nimalizie series yangu kali sana

  12. Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

    Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah .wote hawamuamini Yesu kama...
  13. Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  14. Nauza simu yangu

    Infinix hot 30 play 6000 battery Used 150,000 Nipo Dar
  15. Matukio yangu binafisi ambayo Huwa nikiota yanakuwa kweli Kwa 100%

    Ni kijana Sasa huku nautazamia uzee huo unakaribia . Kawaida yangu nilikuwa na puuza sana ndoto Kila nikiota na ipuuza sitilii maanani! Nikiwa mdogo sana almost miaka 7 hapo sijaanza shule Kwa miaka hiyo niliota ndoto zaidi3 ya tukio Baya (sitalitaja) ila lilihisu kifo Cha kinyama nikamwambia...
  16. Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  17. Tanzania nchi yangu, nimevumilia ila uzalendo unanishinda

    Moyo wangu unaniuma, Najiona mwenye hatia, Sina raha nalazimisha tabasamu, Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii. Nakumbuka nilichukua kadi hii kwasababu kuu mbili, Kwanza ilikuwa kujihakikishia ajira ya kudumu maana adui akikushinda nguvu mpishe...
  18. PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  19. Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  20. Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…