Ndugu yangu Leo amenipa shilingi elf 20k

Ndugu yangu Leo amenipa shilingi elf 20k

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,754
Reaction score
18,776
Imepita muda huyu bwan mdogo hajinipea chchote wala kuchanagia chochot yey Yuko busy na kaz na maujenzi yake ila Leo bin fuu tumejikuta tuko mkoa mmoja na yye Yuko likizo hapn mkoni .... Kwamba ameamua kuwepo hap mkoani nilipo ili akamiloshe miradi yake


Bas nikiwa kanisani nikipata mahubiri ya pastor wangu mchungaji ,reverent paster subila kijan mahiri San huyu Leo alitoa neno Kali sna na mahubiri yalinoga sna bas simu ikaita nikajiukiza dogo ana shida gani nikamtext Niko kwa kanisa nimbie"* akatulia bas nikamaliza ibad hyu Niko mboriko kupata mboriko ya ndiz

Nikamchek akasema ... Nimekuachia 20 hapo mezani utakuja kuchukuwa midaa

Sas najiuliza dogo Leo ameamua kutoa sadak nn

Anyway Niko nimetulia sehemu moja hv tulivu sna nikisherkeaa ufufuo

Bwan yesu amefufuka kweli kweli hadi mm nimekumbukwa na 20 k

Bwana yesu asifiwe snaa
 
Back
Top Bottom