Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,652
- 860,938
Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!!
Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama unalazimisha.... huwa linadanganya ubongo wako na kutoa homoni za furaha (endorphins) ambazo hupunguza msongo wa mawazo??
Hivyo, jaribu kutabasamu kidogo sasa hivi.. Tabasamu hilo linaweza kubadilisha hali yako ya jioni kabisa!
Tabasamu sasa... Mimi nimetabasamu😀