Wataalam wa Afya, nitathibitishaje kama mimba ni yangu?

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,531
Reaction score
9,576
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
 
Kijana nakuomba unipatie huyo mjamzito nimtunze na kumlea. Njoo PM tuyajenge mie nitale mimba na mwenyewe mimba na mtoto
 
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Another New Single Maza in Town.

Yaani Mwanamke akishapata Mimba ambayo Mwanaume wake ana Doubt nayo basi maisha yashaanza kuwa magumu
 
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Watu wa makamu ukiwauliza watakuambia mtoto akizaliwa atakua wako copy ya origin usiwe na wasiwasi mimba yako hiyo

Ni ujauzito unaomfanya akuchukie
 
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
Ndio maana Mungu aliweka kigezo cha kuoa kwanza ndio upewe hiyo kitu,hasara ya kuanza mapema kabla ya kuoa ukianza kukutana na hayo manyaunyau uwezekano wa kula kona ni mkubwa sana...
 
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo umeshuka kama CD4
 
Umechapiwa? Kama una pua kubwa na meno ya ngili na mtoto yabid awe ivo mkuu
 
Back
Top Bottom