Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

Inch 24 frameless hiyo ndo bei yake full box Kkoo tena siku hizi hadi 150,000 refurbrished wanakupa.

Sijaona ulichokishusha hapo wewe ni winga mbobevu na vistory uchwara vya kutia huruma huna tatizo lolote upate mgao kwa kitu refurbrished.

Ingekuwa inch 27+ unauza kwa bei hiyo hapo kweli tech experts tungejua una shida.

Kama unabisha kazunguke fb market utaona bei za hivyo vidude, havina soko tena.

Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie.
 
Aisee
 
Mi nilinunua skycity mall kwa 285K na monitor ipo nyumbani kwangu sio dukani, mi Sina duka la laptop Wala sio winga
 
Back
Top Bottom