FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
1701449364493.png

Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania.

Unafikiri nani ataibuka mshindi katika mechi hii?

Kaa nami katika uzi huu, nitakuletea matukio na matokeo yatakayokuwa yakijiri katika mchezo huu.

1701530587689.png

Kikisi cha Yanga kinachoanza

1701530655848.png

Kikosi cha Al Ahly kilichoanza

Goooal Yanga 0 - 1 Al Ahly (Percy Tau 87')
 
Mohamed Hani: Matayarisho yetu ni mkubwa kabla ya kukabiliana na Young Africans... na lengo letu ni kushinda mechi hiyo


View: https://m.youtube.com/watch?v=fPluXizj7Lk محمد هاني: تركيزنا كبير قبل مواجهة يانج أفريكانز.. وهدفنا الفوز بالمباراة

2023/12/01​

Al Ahly are all set for Young Africans​

Klabu ya Wekundu wa Al Ahly iliyoanzishwa mwaka 1907 wachezaji wake wakipasha moto misuli katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Na tai hao wekundu walitoa fursa kwa vyombo vya habari kuwaona kwa dakika 15 za mwanzo za tizi lao kabla ya kufunga milango kuendelea na programu ya kuufahamu uwanja na pia mrejesho wa utayari wa kila mchezaji anajisikia yupo ktk hali gani .

View: https://m.youtube.com/watch?v=lhzqXKrbhEI
The Reds have concluded their preparations for the match against Tanzania's Young Africans tomorrow, in Matchday 2 of the CAF Champions League group stage.

The Red Eagles trained at Benjamin Mkapa Stadium, which will be hosting the match aganist Young Africans SC, and the training was open to media the first 15 minutes
Source : https://www.alahlyegypt.com/en/news/article/39314
 
Back
Top Bottom