Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?!
Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS..
𝗩𝗶𝗴𝗲𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮...
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance.
https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl
Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".
Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea...
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao...
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1.
Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema...
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.
Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya...
Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa.
Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani.
Michuano ilikua ya kagame na klabu za...
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika...
Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam.
Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
Mwenyekiti wa zamani wa Simba na FAT Adan Rage, amesema wataidai na kuipeleka mahakamani kampuni ya outdoor, Saifi store waliohusika na Kutundika bango lilitumia nembo ya Simba, kwani muendo huo ni wa kibiashara na wamejitangaza kupitia logo ya Simba bila ridhaa ya Simba wenyewe.
Mbobevu huyo...
Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia.
Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga.
Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.