yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027

    Sio vibaya kukumbushana...!!! Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele aminaπŸ˜€. Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri...
  2. JamiiForums Tanzania Onana is overated anazidiwa na Diara kipa wa Yanga

    Goal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

    Hapo vip!! Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia. Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika. Yanga inacheza na timu kubwa na bora...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu..Nimetazama kwa makini hapa sijaona jezi ya Yanga

    Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao Tunasajili magasa tu?
  6. JamiiForums Tanzania Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  7. JamiiForums Tanzania Penati kakosa Kagere mbona Yanga mnaumia?

    Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe. Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Mliona mbali sana Mapinduzi Cup

    Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya. Yanga mliona mbali sana
  9. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.
  10. JamiiForums Tanzania Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

    Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C? Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu pia. Muda badoo unaruhusu weka maoni yako tuweze kuona tunawapa APR ladha ipi.
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi mzungu alivyoiba idea ya Yanga

    πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hivi Utopolo mnawachukuliaje mashabiki wenu?
  12. JamiiForums Tanzania Ilikuawaje Yanga wakaweka bango la kuonesha kwamba wameifunga Simba 5 -???

    Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!! Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
  13. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC πŸ“† 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar πŸ•– 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu. Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi. KIKOSI CHA YANGA...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

    Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
  16. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Yanga wanatafuta Straika wakati Crispin Ngushi yupo?

    Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana, Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la Yanga!? Je Mayele alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado tulimponda, ndio tulihitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Okra kutuvalia kata K watu wa Yanga alimaanisha nini?

    Unajua adabu ya mtu unaijua toka mwanzoni. Okra mchezaji mzuri sana, najua atatusaidia. Jana sikupenda allivyovyaa kwa kweli ile jeans yake, Yanga watu wa heshima siku zote. Kuna kipindi alikuwa anatembea huku anavuta jeans juu means jeans ilikuwa inashuka huu sio ustaarabu wa yanga. Msaidien...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  20. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…