Mpira wa miguu ni mchezo wa kugongana na kutumia nguvu nyingi sana hasa kwenye mashindano makubwa ya CAF na Derby. Wachezaji walewale kila mechi za kila mashindano zinaiumiza timu, wachezaji wanachoka na kuumia na kulazimika kucheza na uchovu na maumivu, hivyo kucheza chini ya uwezo wao...