yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania EATV: Wakandaji wa Yanga kuwasili Machi 28

    Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika. Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
  3. JamiiForums Tanzania Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi. Daima mbele nyuma mwiko.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga, siwaoni humu watani

    Yanga kunani? Siwaoni humu watani. Mpo kimyaaaaa 🤣🤣 Watani, nasikia feisal anarudi jangwani 🤣🤣🤣 WAZEE WA MABLICHI. 🤣🤣🤣🤣
  5. D

    JamiiForums Tanzania Yanga fans msipoteze muda na pesa kuangalia match ya sundowns. You will be disappointed

    with how guede and gamondi plans works. don't waste you hard earn money kwa hii game. 1. GAMONDI WILL DISAPPOINT YOU. amini atakuja na plan mbovu . unbelievable plans. with guede up front mtashangaa.. he will lose the game. pathetic of a manager. no tactics. brainless guede mind guy if we are...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nacheka lakini Naogopa, Azam ilikuwa ishinde mabao 8 leo dhidi ya Yanga

    Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa. Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo...
  8. JamiiForums Tanzania Mtawaona leo watakavyokuwa 'Nyoronyoro' wakicheza na Yanga SC, ila wakicheza na Simba SC utadhani wana 'Mota' Makalioni mwao

    Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

    Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo. Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
  11. JamiiForums Tanzania Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

    1.vina Wana chama wengi 2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa 3.vina matawi kila sehemu kote vijijini 4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji 5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake 6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na...
  12. JamiiForums Tanzania Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
  13. JamiiForums Tanzania Picha 2014: Mashabiki waling'oa viti baada ya Yanga kumfunga Al ahly BAO Moja

    Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
  15. JamiiForums Tanzania Tupia risiti ya uzi wa mashabiki wa Yanga wakijisifu watamfunga Mamelodi ili tuzihifadhi kwa matumizi yajayo

    Lengo ni kutunza risiti hizi kwa matumizi yajayo maana vurugu zimezidi humu jf.
  16. JamiiForums Tanzania Read Between The Lines: Yanga SC Wanaitwa Kijanja Mezani na Azam FC

    Nimeiona barua ya Azam FC kwa vyombo vya habari. Kiufupi barua imekaa ki-unproffesional kinoma yaani. Kwanza kabisa kama klabu imepokea offer kutoka vilabu viwili tofauti kwanini Klabu ingoje vilabu vingine vije ku-table offer zao? Huu ni kama mchezo fulani hivi wa kitoto ambao Azam FC...
  17. JamiiForums Tanzania Katika hii droo ya Yanga na Mamelodi ni nani hasa Analengwa atoke au asitoke mapema CAFCL 2023/24?

    Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa . Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
  18. JamiiForums Tanzania Azam yathibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili vikimuhitaji Dube, Simba sc ikiwemo

    Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe. Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan. Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa. Aidha, Azam FC...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa Mamelodi wameyatimba, wasubiri mwakani

    Nyie utopolo kucheza na Mamelodi ni kuyatimba, wameahidi kuwapiga bao 6 pale afrika kusini. Kazi mnayo, msiba mkubwa kwa Taifa
  20. L

    JamiiForums Tanzania Yanga mlisema mnataka Chai iweje mnalalamika mnaungua kwa Mamelodi

    Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF. Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo mnalalamikia draw, makamu Rais wenu anasema sio vzr Simba na Yanga kushangilia wageni, leo yamekuwa hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…