Yanga, siwaoni humu watani

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,866
Yanga kunani? Siwaoni humu watani.

Mpo kimyaaaaa 🤣🤣

Watani, nasikia feisal anarudi jangwani 🤣🤣🤣

Screenshot_20240318-090702.png

WAZEE WA MABLICHI. 🤣🤣🤣🤣
 
Wako humu ila leo wanaishi km majirani wambea wakisikia kelele wanachungulia dirishani ...sasa yanga leo wamo humu sio kwamba hawatuone ila wanachugulia wakiwa na maumivu ya fei
 
Back
Top Bottom