Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,344
4,802
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
 
Mimi sio Yanga ila timu ya Taifa ni hiari, Dickson Job yuko sahihi kabisa,maamuzi yake yasiingiliwe au kupewa shinikizo,hizo timu za taifa mchezaji akipata injury wanamsusa club ndo inaingia gharama. Kucheza timu ya taifa ni kujitolea tu mtu kama hataki asilazimishwe.
 
Yanga kumejaa wapuuzi wengi, utaona watakavyogeuka mchezaji akiifanyia timu yao, Feitoto alipogoma kucheza yanga mashabiki wao walimshambulia Sana utafikiri wao ndio wamempa kipaji cha kucheza mpira lakini Sasa hi wanatetea ujinga wa Job.
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Mashabiki wa bongo ni waropokaji tu. Juzi tu Ben White wa Arsenal alimwambia kocha Southgate hataki kwenda kwenye timu ya taifa England na kocha akakubali. Inasemekana chanzo ni kocha msaiidizi wa England alimbwatukia bila heshima mbele ya wachezaji wenzake walipokuwa Qatar. Hujasikia mashabiki wa England wakipayuka kwa nini hahaenda kwenye timu ya taifa. Sasa wewe unabwatuka tuvkama chizi kwa sababu tu Job anatoka Yanga. Upuuzi mtupu
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako,mama Yako,baba Yako na kila mtu.
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Ni faida kwa yanga kumtumia kwenye michezo ya club bingwa Africa akiwa mwenye utimamu wa afya
 
Kwan mabeki warefu hawapo? hata mim ningekataa mechi za mwanzo za afcon hakucheza na tulipouliza tukaambiwa kocha kasema kimo sasa hiyo ya congo alikua kasharefuka?
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Hii ni kuweweseka na zile 5
 
Yanga kumejaa wapuuzi wengi, utaona watakavyogeuka mchezaji akiifanyia timu yao, Feitoto alipogoma kucheza yanga mashabiki wao walimshambulia Sana utafikiri wao ndio wamempa kipaji cha kucheza mpira lakini Sasa hi wanatetea ujinga wa Job.
kwahiyo wewe unempa job hich kipaji?. Umemsikia upande wa job unasemaje? Punguzeni kuwashwa na mambo ya watu.
 
Kukataa kucheza mechi ya afcon dhidi ya congo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Unajua sababu za kukataa au unamhukum bila kusikiliza upande wake... Kiufupi kabla ya mechi hiyo tiali Kocha alikuwa na plan yake bila kumhusisha job kipindi Cha kwanza na mpka wanafanya maandalizi iko hivyo... Ila baada ya kuingiza vyumba vya kubadilishia nguo ndipo job anaambiwa avae kwaajli ya kucheza beki 2... Automatically Job kwasababu hajajiandaa kucheza kipind Cha kwanza na mechi ilikuwa na umhimu akaamua kumwambia hayupo sawa... Yaani hapa walitaka akacheze bila utayari wa mwili na akili ili aharibu aonekane mbovu?. Huyo Moroco ni msengelema washed.
 
Back
Top Bottom