Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,131
7,902
Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia. Madhara yake tumekuwa na ligi yenye ratiba za hovyo na zisizoeleweka.

Kwa siku kadhaa kumekuwa na vilio kutokana na wachezaji wa Simba na Yanga kuitwa timu ya taifa wakati timu zinajiandaa kucheza mechi za robo fainali ya CAFCL (na nadhani Yanga ndiyo wanalialia zaidi halafu wakati huo huo wanalalamika kwa nini Dickson Job hajaitwa).

Ukiangalia ratiba ya Bafana Bafana, kuanzia wiki ijayo watakuwa Algeria kucheza mechi 2 za kirafiki na katika kikosi kilichoitwa kuna wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns walioitwa na hawa ni wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Mamelodi na siyo kina Kennedy, Manula, Mwamnyeto au Mzize ambao hawana uhakika kwenye vikosi vya kwanza vya timu zao.

Afrika Kusini anacheza mechi ya pili ya kirafiki na Algeria tarehe 27/03 huko Algeria, yaani siku 3 kabla ya kukabiliana na Yanga. Hii pia ina maana hawa wachezaji hawatakuwa na wenzao katika kipindi chote cha kujiandaa kucheza na Yanga na kuna uwezekano mkubwa watakuja moja kwa moja Dar kujiunga na wenzao. Kwa ratiba hiyo ina maana wanaweza kupata siku moja tu ya kufanya mazoezi na wenzao.

Kuna kitu cha kujifunza hapa.
 
Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe mkiogopa eti watachoka au kuumia. Madhara yake tumekuwa na ligi yenye ratiba za hovyo na zisizoeleweka.

Hakuna cha kujifunza.

Mpira wetu unawatu wanaotaka kuzipiku record za Simba kwa namna yoyote iwe ni kwa kumkwamisha ama kwa kumzidi kimatokeo.
Watu wana uthubutu wa kuwalipa baadhi ya wachezaji ili wawaumize wachezaji wa timu inayokwenda kucheza kimataifa.
Kuna uhuni mwingi unafanyika kukwamishana ili tu ionekane tupo sawa au wametuzidi.
Wahuni hawa ndio waliovaa jezi za Kaizer na Orlando.Tusiwachukulie poa wahuni hawa
 
Teh teh teh mchezaji yupi wa 5imba alieumizwa? Yanga kiboko yenu kudadadeki
 
Ukiwa unajua unajua tu hata utoke kunyandua alafu uambiwe jioni Kuna mechi unakiwasha vizuri tu, na kama hujui hujui tu labda ukomae na mazoez.

Nakumbuka kipindi Niko form vi PCB Kuna jamaa lilikuwa hata haliingii darasani na ninadra kumkuta anajisomea yeye ni club na mademu tu ila Cha ajabu ndio alikuwa atupeleka puta form six wote ambao mpaka kukesha tunakesha tukiwa tunasoma.
 
Hakuna cha kujifunza.

Mpira wetu unawatu wanaotaka kuzipiku record za Simba kwa namna yoyote iwe ni kwa kumkwamisha ama kwa kumzidi kimatokeo.
Watu wana uthubutu wa kuwalipa baadhi ya wachezaji ili wawaumize wachezaji wa timu inayokwenda kucheza kimataifa.
Kuna uhuni mwingi unafanyika kukwamishana ili tu ionekane tupo sawa au wametuzidi.
Wahuni hawa ndio waliovaa jezi za Kaizer na Orlando.Tusiwachukulie poa wahuni hawa
Kimojawapo cha kujifunza ni kuwa mchezaji professional hahitaji wiki mbili kumfundisha na kumuelekeza mpango kazi wa mechi husika. Siku 1 au 2 zinaweza kumtosha.
 
Ukiwa unajua unajua tu hata utoke kunyandua alafu uambiwe jioni Kuna mechi unakiwasha vizuri tu, na kama hujui hujui tu labda ukomae na mazoez.

Nakumbuka kipindi Niko form vi PCB Kuna jamaa lilikuwa hata haliingii darasani na ninadra kumkuta anajisomea yeye ni club na mademu tu ila Cha ajabu ndio alikuwa atupeleka puta form six wote ambao mpaka kukesha tunakesha tukiwa tunasoma.
Na ndiyo nimetoka kuandika!
 
Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia. Madhara yake tumekuwa na ligi yenye ratiba za hovyo na zisizoeleweka.

Kwa siku kadhaa kumekuwa na vilio kutokana na wachezaji wa Simba na Yanga kuitwa timu ya taifa wakati timu zinajiandaa kucheza mechi za robo fainali ya CAFCL (na nadhani Yanga ndiyo wanalialia zaidi halafu wakati huo huo wanalalamika kwa nini Dickson Job hajaitwa).

Ukiangalia ratiba ya Bafana Bafana, kuanzia wiki ijayo watakuwa Algeria kucheza mechi 2 za kirafiki na katika kikosi kilichoitwa kuna wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns walioitwa na hawa ni wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Mamelodi na siyo kina Kennedy, Manula, Mwamnyeto au Mzize ambao hawana uhakika kwenye vikosi vya kwanza vya timu zao.

Afrika Kusini anacheza mechi ya pili ya kirafiki na Algeria tarehe 27/03 huko Algeria, yaani siku 3 kabla ya kukabiliana na Yanga. Hii pia ina maana hawa wachezaji hawatakuwa na wenzao katika kipindi chote cha kujiandaa kucheza na Yanga na kuna uwezekano mkubwa watakuja moja kwa moja Dar kujiunga na wenzao. Kwa ratiba hiyo ina maana wanaweza kupata siku moja tu ya kufanya mazoezi na wenzao.

Kuna kitu cha kujifunza hapa.
Naomba kujua Azerbaijan iko wapi Kwanza. Mchezaji wa Simba anacheza Azerbaijan tarehe 27 anaondoka tarehe 28 halafu tarehe 29 ana Mechi Dar na Ahly. Mchezaji wa Yanga anacheza na Azam tarehe 17, anaondoka 18 anacheza Azerbaijan 24 & 27, anaondoka huko 28 anacheza na Mamelody 30.
Kuna watu mna akili nyepesi kama Sufi.
 
Sufi ni manyoya ya kondoo au
 
Baelezeee....inaonekana watu Hawaii hizo "logistics ", ndio maana wengine wanafananisha moira na "kunyanduana"....Hata Hawajui kuwa mtu akisafiri angani kuna kitu kinaitwa "Jetlag" - na kinahitaji Angalau siku moja ili kipotee. Yanga na Simba wasiende kwenye hizo mechi za kirafiki za Taifa stars
!!! Wabaki kujiandaa na mechi za CAF.
 
hivi mleta mada umefuatilia ligi ya Misri na huyo bingwa mtetezi Al ahly alivyojaa viporo mpaka vinachacha?
 
Attachments

  • Screenshot_20240316_125234.png
    Screenshot_20240316_125234.png
    94.4 KB · Views: 4
hivi mleta mada umefuatilia ligi ya Misri na huyo bingwa mtetezi Al ahly alivyojaa viporo mpaka vinachacha?
Wachezaji wa Al Ahly wametumika sana December katika mashindano tofauti kuanzia Egypt Super Cup, CAFCL hadi Club World Cup, halafu January wengi walikuwa AFCON.

Ratiba yao ya December pekee hizi timu zetu zisingeiweza na ukiangalia baada ya AFCON wamerudi tena kuwa na ratiba ngumu ambayo kwa timu zetu tusingeikubali.
 
Baelezeee....inaonekana watu Hawaii hizo "logistics ", ndio maana wengine wanafananisha moira na "kunyanduana"....Hata Hawajui kuwa mtu akisafiri angani kuna kitu kinaitwa "Jetlag" - na kinahitaji Angalau siku moja ili kipotee. Yanga na Simba wasiende kwenye hizo mechi za kirafiki za Taifa stars
!!! Wabaki kujiandaa na mechi za CAF.
Unadhani tu Tanzania ndiyo wameita wachezaji? Chama, Musonda, Aziz Ki, Ntiba wote hawa wameitwa na wanacheza mechi tarehe 26-27.
 
Kimojawapo cha kujifunza ni kuwa mchezaji professional hahitaji wiki mbili kumfundisha na kumuelekeza mpango kazi wa mechi husika. Siku 1 au 2 zinaweza kumtosha.
Mnakumbuka kilichomkuta Fei baada ya kutoka Yanga?? Mechi yake ya kwanza stars alicheza kama shoga tu Kwa kuwa haikuwa na Timu muda ule
 
Naomba kujua Azerbaijan iko wapi Kwanza. Mchezaji wa Simba anacheza Azerbaijan tarehe 27 anaondoka tarehe 28 halafu tarehe 29 ana Mechi Dar na Ahly. Mchezaji wa Yanga anacheza na Azam tarehe 17, anaondoka 18 anacheza Azerbaijan 24 & 27, anaondoka huko 28 anacheza na Mamelody 30.
Kuna watu mna akili nyepesi kama Sufi.
Huyu hua hana akili anadhani Azerbaijan ni morogoro
 
Baelezeee....inaonekana watu Hawaii hizo "logistics ", ndio maana wengine wanafananisha moira na "kunyanduana"....Hata Hawajui kuwa mtu akisafiri angani kuna kitu kinaitwa "Jetlag" - na kinahitaji Angalau siku moja ili kipotee. Yanga na Simba wasiende kwenye hizo mechi za kirafiki za Taifa stars
!!! Wabaki kujiandaa na mechi za CAF.
Mtu analeta mada utadhani kaishia la 4. Hajui kukaa angani Muda mrefu ni ugonjwa pia, anafanaisha eti na kulala na demu wa Kimboka?
 
Back
Top Bottom