Yanga kwa Mamelodi wameyatimba, wasubiri mwakani

Nyie utopolo kucheza na Mamelodi ni kuyatimba, wameahidi kuwapiga bao 6 pale afrika kusini.

Kazi mnayo, msiba mkubwa kwa Taifa
Acha uoga wa hapo ukoloni,siii ndiooo yaaaanga,oooooohhhhhooo,sisi ndio yaaaanga,omba siku hiyo ifike😅
 
Ulikua huna bando, leo shemeji ameku-hitspot ndio umeona droo ilivopangwa cha kwanza kufungua uzi. Si ungetuliza komwe usome nyuzi Jukwaani uchangie tu ulikua na haja gani ya kuanzisha uzi mpya.
Leo uzi wake huu wa 20 kuhusu Ya ga na Mamelodi. Kweli shem wake kamuhotspot leo.
 
Yaah mwamba achoki kuwakumbusha leo kaja na yanga ameyatimba ....safi endelea kuwakumbusha kuwa mamelod c timu ya kitoto
 
Back
Top Bottom