demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Nimeiona barua ya Azam FC kwa vyombo vya habari.
Kiufupi barua imekaa ki-unproffesional kinoma yaani. Kwanza kabisa kama klabu imepokea offer kutoka vilabu viwili tofauti kwanini Klabu ingoje vilabu vingine vije ku-table offer zao? Huu ni kama mchezo fulani hivi wa kitoto ambao Azam FC wanaucheza baada ya kuona mazungumzo yao ya siri na mchezaji hayakuweza kuzaa matunda.
Je ni kusema kwamba offer za Simba na Al hilal hazijawashawishi Azam FC mpaka waone inafaa kuwangoja wengine (ambako mchezaji husika anapendelea kusajiliwa?)?.
Inafikirisha sana.
Ni sheria za Kiuchumi ambazo Azam FC wanajaribu kucheza nao, Tengeneza DEMAND ili upate fursa ya kubagain price.
Kwa mchezo ulipofikia hivi sasa hii kanuni ya kiuchumi haitowasaidia Azam FC ikiwa mchezaji amekwisha onyesha malavi davi na upande anaopanga kufanya nao kazi.
Hainiingi akilini kuona Dube ambaye alisema anataka kuchezea timu yenye malengo makubwa akachagua kwenda Al Hilal ya sudan ambapo hakuna ligi na timu yenyewe inazurura zurura. Sidhani kama Simba ndio pamekuwa pahala pa DUbe kutamani kwenda ukizingatia perfomance ya Yanga SC hivi sasa.
Nawashauri Azam CUT THE LOSSES. Anzeni upya.