EATV: Wakandaji wa Yanga kuwasili Machi 28

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe kuvaa jezi zao?
Tutaelewana tu jamani🤣🤣
IMG_0327.jpeg
 
Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe kuvaa jezi zao?
Tutaelewana tu jamani
View attachment 2940780
Kwa kiwango cha waandishi wa Tanzania wamejitahidi Sana.
 
Hiyo Eatv yenyewe kwanza ilishajifia kitambo! Usikute huyo mwandishi mwenyewe hana hata uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi!

Kwa kigezo hicho tu anastahili kabisa kuandika upuuzi kama huo.
 
Back
Top Bottom