Nacheka lakini Naogopa, Azam ilikuwa ishinde mabao 8 leo dhidi ya Yanga

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa.

Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo mapema kabisa kama sio mapenzi yao kwa Yanga.

Sasa subirini Mamelod bumbavu nyie
 
umekula baada ya kuvuta bange?
 
Futari ya mihogo ni hatari kwa afya ya akili
 
Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa.

Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo mapema kabisa kama sio mapenzi yao kwa Yanga.

Sasa subirini Mamelod bumbavu nyie
Povu lote hili , duuh kafulie nguo
 
Kwa wakati huu hivi simba nayo ni timu kweli ndugu?
 
Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa.

Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo mapema kabisa kama sio mapenzi yao kwa Yanga.

Sasa subirini Mamelod bumbavu nyie
Tusubiri mechi ya marudiano, uzuri ni mwezi ujao tu. Mtapigwa mkono tena.
 
Kama ni hivyo mbona alitokosa mzize na guede hamyasemi. Na mkija tena tunawapiga zilezile kenge nyie
 
Timu ya mchongo,Ina wapuuzi wenye Hela wachache wapangaj matokeo wanatuharibia soka letu leo Azm imewa expose.Nlishasema hii timu sio nzuri kihivyo ni hype tu za kijinga Leo wameniamini.
 
Yatima hanyanyaswi hawachelewi kuzimia hao wafuga majini kueni makini nao
 
Azam kwa namna walivyo cheza hawakustahili ata sare, Yanga ndio waliotengeneza nafasi nyingi ndio walio tawala mchezo ila matokeo yamekataa.

Kikubwa wachezji wengi wa Yanga walikua na uchovu mwingi na ndio ulio sababisha majeraha.
Ukiweka na makosa ya kibinadamu ya mshika kibendera basi leo ilikua siku ya Azam
 
Back
Top Bottom