Habarini za mchana wakuu,
Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;
1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na...