Ukitaka kujua ni jinsi gani GSM wanavyoanza Kuhatarisha Amani ndani ya Klabu ya Yanga kwa Usanii wao juu ya Mchezaji Bernard Morrison fuatilia hili

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA

Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha.

Moja Leo Eng. Hersi ameongea na Kaimu Katibu wa Yanga ametoa barua vyote zimesema wamesaini mkataba na Morrison 20/03/20 na kuupeleka FIFA na TFF kuusajili hapa Wamesema Uongo maana hakuna utaratibu wa kupeleka mikataba fifa ila kwa njia ya Automatically TMS na ili mkataba ujulikane upo hai ni lazima uwepo kwenye TMS system na kwa kuwa Dirisha la Usajili lilishafungwa January 15 huwezi kuweka mkataba mwingine mpaka dirisha linapokuwa wazi ndio TMS inavyofanya kazi hivyo kama walishaweka mkataba wa miezi January ni mpaka Dirisha litakapofunguliwa 01 August 2020 ndio unaweza kuweka mkataba mwingine HAPA WAMEDANGANYA WATU.

Pili mchezaji Morrison ametua nchini 17 January 2020 na kwa Kinywa chake amesema amesaini mkataba baada ya mechi mbili wakati dirisha la usajili Tanzania lilifungwa 15 January hapo kuwa utata uwa Usajili na mkataba ingawa ni vitu viwili tofauti ila vinaendana hapa kuna maswali ya kujibu ila pia Huwezi kupata WORK PERMIT bila kuwepo mkataba wa mchezaji sasa ina maana kuna mtu amedanganya hapa Yanga au Morrison hii ni lazima kutolewa ufafanuzi kwa TFF iki serikali iwe sahihi kwenye vibali vyake.

Tatu Kuhusu Mchezaji Banka yupo Zanzibar kwao na hataki tena kuchezea Yanga maana anawadai fedha nyingi sana na wananzungusha tu sasa anaenda mbele kupata haki yake amezungushwa vya kutosha kabisa.

Nne Mchezaji Tshishimbi pia imebainia nae hajasaini mkataba na amegoma ila wanasingizia anaumwa wakati ni mzima na anafanya mazoezi yake binafsi na anaonekana.

Tano Kocha Luc EYMAEL toka amerudi nchini na mke wake amepewa nyumba kama za wachezaji ila isiyoendana na hadhi yake amekataa na kurudi hotelini hivyo sasa yupo hotenini na mkewe Wadau wanasema hajatimiziwa vitu walivyokubaliana ndio maana analalamika wana uswahili maneneo mengi vitendo tofauti kabisa hata gari mpaka sasa hajapewa toka January.

Mtanzania yoyote yule mwenye Akili timamu kama Mzukulu hawezi na wala hatothubutu kabisa kuwa Mshabiki wa Klabu ya hovyo sana ya Yanga.
 
Yanga kama haina uwezo wa kulipa wachezaji wachukue wachezaji toka dondo mishahara laki laki,hawana uwezo halafu wanajipretend wana hela
 
Kuna kitu hapa ,nauliza hivi na mchezaji huru ni mpaka dirisha la usajili?
Pili,uhalali wa mkataba ni mpaka iende fifa au tff ?
 
Kama Morrison hana mkataba na Yanga kwanini mbumbumbu fc mchanganyikiwe wakati yupo huru, ongeeni nae mumsajili free.
Hili ndio jibu kelele za nini wamsajili wao si wanaweza sana kusajili?
 
MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA

Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha.

Moja Leo Eng. Hersi ameongea na Kaimu Katibu wa Yanga ametoa barua vyote zimesema wamesaini mkataba na Morrison 20/03/20 na kuupeleka FIFA na TFF kuusajili hapa Wamesema Uongo maana hakuna utaratibu wa kupeleka mikataba fifa ila kwa njia ya Automatically TMS na ili mkataba ujulikane upo hai ni lazima uwepo kwenye TMS system na kwa kuwa Dirisha la Usajili lilishafungwa January 15 huwezi kuweka mkataba mwingine mpaka dirisha linapokuwa wazi ndio TMS inavyofanya kazi hivyo kama walishaweka mkataba wa miezi January ni mpaka Dirisha litakapofunguliwa 01 August 2020 ndio unaweza kuweka mkataba mwingine HAPA WAMEDANGANYA WATU.

Pili mchezaji Morrison ametua nchini 17 January 2020 na kwa Kinywa chake amesema amesaini mkataba baada ya mechi mbili wakati dirisha la usajili Tanzania lilifungwa 15 January hapo kuwa utata uwa Usajili na mkataba ingawa ni vitu viwili tofauti ila vinaendana hapa kuna maswali ya kujibu ila pia Huwezi kupata WORK PERMIT bila kuwepo mkataba wa mchezaji sasa ina maana kuna mtu amedanganya hapa Yanga au Morrison hii ni lazima kutolewa ufafanuzi kwa TFF iki serikali iwe sahihi kwenye vibali vyake.

Tatu Kuhusu Mchezaji Banka yupo Zanzibar kwao na hataki tena kuchezea Yanga maana anawadai fedha nyingi sana na wananzungusha tu sasa anaenda mbele kupata haki yake amezungushwa vya kutosha kabisa.

Nne Mchezaji Tshishimbi pia imebainia nae hajasaini mkataba na amegoma ila wanasingizia anaumwa wakati ni mzima na anafanya mazoezi yake binafsi na anaonekana.

Tano Kocha Luc EYMAEL toka amerudi nchini na mke wake amepewa nyumba kama za wachezaji ila isiyoendana na hadhi yake amekataa na kurudi hotelini hivyo sasa yupo hotenini na mkewe Wadau wanasema hajatimiziwa vitu walivyokubaliana ndio maana analalamika wana uswahili maneneo mengi vitendo tofauti kabisa hata gari mpaka sasa hajapewa toka January.

Mtanzania yoyote yule mwenye Akili timamu kama Mzukulu hawezi na wala hatothubutu kabisa kuwa Mshabiki wa Klabu ya hovyo sana ya Yanga.
duh! hapa hamna timu, ni genge la wahun fulan hivi.
 
Back
Top Bottom