Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Happycuit

JF-Expert Member
Aug 18, 2013
638
530
Habarini za mchana wakuu,

Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;

1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na hata mchakato wao wa mabadiliko nina uhakika 99% hautofanikiwa kutokana na uongozi uliopo kutokujitambua na kutokufahamu mapema kuwa hawa GSM ni wapigaji kama wapigaji wengine.

Suala la Morisson ni janja ya GSM kutaka kumuuza kwa watani zetu kinyemela ili wao wapige pesa bila klabu kufaidika na chochote,na hili ndilo kubwa linaniondoa YANGA,hapo tumepigwa changa la macho maana hakuna official contract kati ya yanga na Morrison,na huyu Morrison ana wanasheria wenye uelewa kuhusu mikataba ndio waliomsaidia kuvunja mikataba kote alipopitia Orlando Pirates,AS Vita n.k huku yeye akiibuka mshindi.

Lengo la Morrison halikuwa kuja kuchezea Yanga bali alikuwa anataka apate timu ambayo atakayocheza kwa kipindi kifupi ili aonekane na aweze kupata deals mbalimbali kwasababu huyu mchezaji alikuwa kijijini kwao huko Ghana kwa miezi zaidi ya minne hana timu hivyo kupata timu nzuri kwa maneno na video za utube ingekuwa ngumu sana kwake na hilo amefanikiwa kwa 100% huku akisaidiwa na wakala wake GSM,na hili lilitokea pia kwa MAKAMBO akiwa sambamba na wakala wake ZAHERA nafikiri mliona kilichotokea

Kiufupi hapo hakuna timu maana mtu yeyote anaweza leta mchezaji wake hapo ili aonekane kwa muda kisha anaondoka bila klabu kufaidika na chochote.

2.Timu inaendeshwa kihuni haina tofauti na timu za ndondo za mitaani,hapo kila mchezaji na bosi wake kuna wanaolipwa na pesa za bakuli na kuna wanaolipwa na pesa za GSM , yupo wapi Mo Banka? yupo wapi Tshishimbi? wote hawa wazima ila uongozi unatudanganya kuwa ni wagonjwa na hawataki kusema kweli kuwa wanadai stahiki zao,hata Morrison tuliambiwa mgonjwa kumbe aligoma kucheza akijua fika anajua wapi atawashika Yanga maana hana mkataba nao.

Kuna mengi sana ila nimeamua kuweka hayo mawili kwa ufupi , maana baada ya mechi ya jana kuisha nilikuwa sina raha kwanza tumekuwa watu wa kupata matokeo kwa bahatibahati tu,na mtu akisema kuwa tunabebwa pia ni haki yake,maana mechi mbili mfululizo tunapata point 1 kwa kupora na haikuwa haki yetu

Mechi ya Azam kiuhalisia ilitakiwa tufungwe na Mechi ya jana dhidi ya Namungo pia ilitakiwa pia tufungwe,mechi zote hizo tunashukuru marefa ,maana kama jana mpira ulikuwa ushaisha na dakika 5 za kuongeza pia ziliisha ila ni kama vile mwamuzi alikuwa anasubiri tusawazishe ili yeye amalize mpira na ninaamini tusingepata goli la puili katika dakika ile refa angechezesha mechi mpaka leo,na hii imekuwa sababu ya kupachikwa majina ya kero kila uchwao, na majina hayo yanaumiza kwelikweli.

Rasmi sasa nimeamua kuwa mshabiki wa SIMBA SC ili niepukane na kero zinazonikabili mawazo,hasira n.k
 
Lengo la Morrison halikuwa kuja kuchezea Yanga bali alikuwa anataka apate timu ambayo atakayocheza kwa kipindi kifupi ili aonekane na aweze kupata deals mbalimbali kwasababu huyu mchezaji alikuwa kijijini kwao huko Ghana kwa miezi zaidi ya minne hana timu hivyo kupata timu nzuri kwa maneno na video za utube ingekuwa ngumu sana kwake na hilo amefanikiwa kwa 100% huku akisaidiwa na wakala wake GSM,na hili lilitokea pia kwa MAKAMBO akiwa sambamba na wakala wake ZAHERA nafikiri mliona kilichotokea,

Kuna mengi sana ila nimeamua kuweka hayo mawili kwa ufupi , maana baada ya mechi ya jana kuisha nilikuwa sina raha kwanza tumekuwa watu wa kupata matokeo kwa bahatibahati tu,na mtu akisema kuwa tunabebwa pia ni haki yake,maana mechi mbili mfululizo tunapata point 1 kwa kupora na haikuwa haki yetu,

Acha iwatese

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
mkuu simba napo utafeli, timu za bongo hazina plan, zinaendeshwa kimizengwemizengwe kutokana na kuwa na wanachama wasiojielewa, kila kiongozi au mfadhili wa hizi timu anazitumia kwa plan za mafanikio yake binafsi na siyo ya timu.
Mimi nlishaona hili mda mrefu nikabaki mtazamaji tu wa mechi za timu hizi na kuhamishia mahaba yangu kwa the blues (Chelsea).
 
Habarini za mchana wakuu,

Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;

1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na hata mchakato wao wa mabadiliko nina uhakika 99% hautofanikiwa kutokana na uongozi uliopo kutokujitambua na kutokufahamu mapema kuwa hawa GSM ni wapigaji kama wapigaji wengine.

Suala la Morisson ni janja ya GSM kutaka kumuuza kwa watani zetu kinyemela ili wao wapige pesa bila klabu kufaidika na chochote,na hili ndilo kubwa linaniondoa YANGA,hapo tumepigwa changa la macho maana hakuna official contract kati ya yanga na Morrison,na huyu Morrison ana wanasheria wenye uelewa kuhusu mikataba ndio waliomsaidia kuvunja mikataba kote alipopitia Orlando Pirates,AS Vita n.k huku yeye akiibuka mshindi.

Lengo la Morrison halikuwa kuja kuchezea Yanga bali alikuwa anataka apate timu ambayo atakayocheza kwa kipindi kifupi ili aonekane na aweze kupata deals mbalimbali kwasababu huyu mchezaji alikuwa kijijini kwao huko Ghana kwa miezi zaidi ya minne hana timu hivyo kupata timu nzuri kwa maneno na video za utube ingekuwa ngumu sana kwake na hilo amefanikiwa kwa 100% huku akisaidiwa na wakala wake GSM,na hili lilitokea pia kwa MAKAMBO akiwa sambamba na wakala wake ZAHERA nafikiri mliona kilichotokea

Kiufupi hapo hakuna timu maana mtu yeyote anaweza leta mchezaji wake hapo ili aonekane kwa muda kisha anaondoka bila klabu kufaidika na chochote.

2.Timu inaendeshwa kihuni haina tofauti na timu za ndondo za mitaani,hapo kila mchezaji na bosi wake kuna wanaolipwa na pesa za bakuli na kuna wanaolipwa na pesa za GSM , yupo wapi Mo Banka? yupo wapi Tshishimbi? wote hawa wazima ila uongozi unatudanganya kuwa ni wagonjwa na hawataki kusema kweli kuwa wanadai stahiki zao,hata Morrison tuliambiwa mgonjwa kumbe aligoma kucheza akijua fika anajua wapi atawashika Yanga maana hana mkataba nao.

Kuna mengi sana ila nimeamua kuweka hayo mawili kwa ufupi , maana baada ya mechi ya jana kuisha nilikuwa sina raha kwanza tumekuwa watu wa kupata matokeo kwa bahatibahati tu,na mtu akisema kuwa tunabebwa pia ni haki yake,maana mechi mbili mfululizo tunapata point 1 kwa kupora na haikuwa haki yetu

Mechi ya Azam kiuhalisia ilitakiwa tufungwe na Mechi ya jana dhidi ya Namungo pia ilitakiwa pia tufungwe,mechi zote hizo tunashukuru marefa ,maana kama jana mpira ulikuwa ushaisha na dakika 5 za kuongeza pia ziliisha ila ni kama vile mwamuzi alikuwa anasubiri tusawazishe ili yeye amalize mpira na ninaamini tusingepata goli la puili katika dakika ile refa angechezesha mechi mpaka leo,na hii imekuwa sababu ya kupachikwa majina ya kero kila uchwao, na majina hayo yanaumiza kwelikweli.

Rasmi sasa nimeamua kuwa mshabiki wa SIMBA SC ili niepukane na kero zinazonikabili mawazo,hasira n.k
karibu tusherehekee ubingwa mkuu
 
Back
Top Bottom