Haya sasa wale Mabondia Sports Club a.k.a Yanga Sports Club msiishie tu Kutaka Kuwapiga akina Yikpe na Molinga kama mnaweza hebu mpigeni na huyu nione

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
" Lakini ukweli lazima usemwe kwa sasa tuna pambana kukaa juu ya Namungo na kwenye FA tu habari za ligi na nafasi ya pili zili komea jumapili, " Anton Nugaz.

Na kwa Kuwakumbusheni tu ili UTOPOLO FC msisahau Mnyama Mnyamani ( Simba Sports Club ) nikishinda tu Kesho dhidi ya Mchovu Mbeya City halafu Azam FC ama akatoka Sare au akafungwa na Kagera Sugar FC Mimi Jumapili nikishinda tena dhidi ya Maafande Magereza Wadhaifu Prisons FC basi nitakuwa ( nitatangazwa ) Bingwa wa mara Tatu Mfululizo na Kombe nalichukua moja kwa moja.

Mtanuna sana mwaka huu Kudadadeki zenu!
 
Manunuzi fc a.k.a mbumbumbu fc wazee wa maujanja ujanja lakini uwanjani zero, vipi huko mbeya kama hamjatanguliza ‘kitu kidogo’ mta gongwa tuu
 
Yaani TAKUKURU ingekuwa inafanya kazi zake barabara, msimu huu unaoshia simba ingekuwa tayari imeisha shuka daraja, maana bila kitu kidogo simba kamwe hawawezi shinda tim yoyote ile hata kama ni daraja la3....,,,
 
Back
Top Bottom