Sajili za Wachezaji zilizotamba sana lakini zikadunda

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
IMG_20210513_145005_365.jpg
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa.

Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati mbaya sajili hizo huenda tofauti na matarajio ya wengi.

Je, usajili wa mchezaji gani ambao uliibua taharuki kwako lakini ukawa tofauti na ulivyotarajia?
 
memphes dapay- usajili kuja Man U

walitarajia atakuwa mbadala wa cr7 lakni ikawa tofauti
 
Utopolo wamefanya sajili kama 40 miezi 18 iliyopita, hukosi magarasa yasiyopungua 30 mpaka 35 hapo.
 
Chama kwenda Simba
Miqueson kwenda Simba
Rally Bwalya kwenda Simba
Onyango kwenda Simba
Thadeo Lwanga kwenda Simba..

Hapa najua ntakamata likes za kutosha toka kidimwini...
 
Alexander pato, cuadrado, Kelvin de breyun, mo salah, A roben, to chelsea.

Di maria, mephis depay to MUT.

Pjnic and zlatan to Fc bercelona.

Na wengine wengi sana mkuu...
 
Back
Top Bottom