yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Na sisi Yanga tukikua tutacheza Mpira kama Simba

    Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba. Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa. Mnacheza kwa dharau...
  2. hiram

    JamiiForums Tanzania Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

    Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969. Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano Hatua ya awali. Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Yanga kutoingiza timu waanza,Simba Sc punguzeni vitisho

    Hapa ni msemaji wa Yanga akitest mitambo kuona mwitikio. Mengi zaidi yatajiri hivi karibuni. Nawaomba Simba Sc wenzangu hasa Haji Manara na fans wa mitandaoni wapunguze vitisho kwa Yanga. Ni vile tu Yanga hawawezi kusema tunatishwa na Manara. Wanaandika kwenda dokezo TFF wakidai Simba...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hili goli Yanga imenunua bei gani kwa Mwadui

    Daaah
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yanga hii bado sana kiushindani

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mchezo waliouonyesha Yanga dhidi ya Mwadui imeonyesha kwa kweli Yanga bado sana. Naishauri Klabu ya Yanga isajili wachezaji wenye viwango kama Simba. Yanga sasa wamepangwa kukutana na Biashara united ya Mara kwenye Kombe la FA...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ajibu kwenda Yanga kwa milioni 45, wadau hawamtaki watishia kumpa kipigo

    Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii. Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale nyoka walioonekana kambini Kigamboni, lamine Moro kukunjana na daktari wa team kule Kigamboni...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, picha rasmi ya Rais Samia Hassan (Hijab Nyekundu) ilizingatia "Soccer Diplomacy" baina ya Simba na Yanga?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Official Portrait ya mkuu wa nchi/serikali sio lazima iwe ya rangi nyekundu. Watanzania acheni kukariri. ========== ========== Mama yetu anaweza kwenda na Hijab Nyekundu kutazama mechi ya Simba na Yanga? Ni nani alimshauri Rais wetu kipenzi mama Samia...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati wana Yanga wakiwacheka wana Simba kwa Kutokufuzu, Mchanganuo huu Muhimu wa Alama unawahusu na wauelewe vyema pia

    Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili. Namungo FC imechangia Alama...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania July 3; Yanga mcheze na sisi ila point wapewe Yanga

    Intelijensia yangu inaniambia uongozi wa Yanga umeanza chokochoko za kukataa kucheza July 3. Wameanza kuwatumia vijana wa mitandao na wachambuzi takataka kutuma ujumbe wao. Tunaomba Simba iongee na TFF wabadili kidogo kanuni. Tucheze na Yanga ila point 3 wapewe Yanga. Tunataka utopolo wakose...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga tusicheze na Simba mpaka kesi zetu zitolewe uamuzi na TFF

    Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha. Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu. Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote. Yanga timu inayojiongoza na heshima yake watujibu kwanza; barua zote zile kesho mtasikia na za timu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imetumia kanuni gani kuingilia geti la mashabiki?

    Hii timu inaendeshwa kwa imani za kishirikina sana, kama ndondo tu. Sasa unajiuliza hii ndio timu iliyosimamia kanuni mpaka ikagoma kuingiza timu dhidi ya Simba kikanuni. Uko wapi msimamo wa kuzingatia kanuni. Wachambuzi takataka nao wako kimya kuikemea hii timu ambayo ni kioo chakavu kwa timu...
  14. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

    Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs wanakabiliana na Simba SC katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, mchezo...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

    Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi. Magoli yote ya pande mbili bado yamenuna. ======= 00' Mwamuzi apuliza kipenga kuashiria mwanzo wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

    Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu. Chanzo: SportsarenaTZ Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa...
  17. luangalila

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, kesho Yanga isipoleta timu uwanjani fuateni sheria

    Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake . Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni...
  18. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Sajili za Wachezaji zilizotamba sana lakini zikadunda

    Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa. Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Kichwa kinachohitajika katika ujenzi wa Yanga mpya

    Soka la bongo ni moja katika ya vitu vyenye mvuto zaid hapa Tanzania. Mpira umekuwa ni trending kwasasa bongo na bongo kama wew sio simba basi ni yanga.yani kwakifupi huwez kuruka apo. Kwa sasa Simba ndio team yenye ushawishi mkubwa zaid Tanzania. Kuanzia kwa wawekezaji, wadhamini mpaka kwenye...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

    Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
Back
Top Bottom