Nisipowapongeza Yanga SC kwa 'Walichokifanya' jana nitajiona ni Mkosaji mkubwa na Mnafiki mno

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,478
2,000
Wana Simba SC tuna cha Kujifunza kutoka kwa Wenzetu wa Yanga SC hasa kwa Kukataa 'Kupelekeshwa' kama 'Mazuzu' fulani hivi na ama TFF au Serikali.

Mwanaume wa Shoka na Unayejiamini (hata kama ni Masikini) unatakiwa uwe na Msimamo 'Thabiti' kama waliounyesha Yanga SC Jana.

Yanga SC ni Watani zangu wakubwa sana na hakuna asiyejua jinsi GENTAMYCINE ambavyo huwa nawananga (nawasema) hapa JamiiForums mara kwa mara kwa 'Mapungufu' yao lakini kwa walichokifanya Jana nawaamkia 'Shikamooni' Yanga SC na Wanayanga wote popote pale mlipo.

Yaani haiwezekani umeshaagana na Mwanamke kuwa utamkanyaga (utamngono) Saa 11 na tayari hata 'Mkuyenge' nao umeuandaa ( umeunoa ) vilivyo ili kukutana na 'Mbunye' ghafla muda unabadilika na kuahidiwa baadae tena. Kiukweli inaboa, inakera na Kupandisha sana 'Hasira' hasa pale ukiwa na 'Nyege' za Pipa zima la Konoike au Strabag.

Sasa TFF na Serikali vitaheshimu Sheria, Kanuni na Utaratibu. Na pia TFF itajifunza kuacha kuwa sehemu ya Siasa za Tanzania hasa kwa 'Kujipendekeza' kwa Serikali ya Rais Mheshimiwa Mama Samia na Chama chake Tawala cha CCM.

Nitashangaa Watu wa Simba SC wakiilaumu Yanga SC na 'Kimchezo' kabisa wasipoipongeza kwa Msimamo wao ule 'thabiti' ambao ninauita ni wa 'Kiume' zaidi.

Waziri Bashungwa na Rais wa TFF Karia mnatarajia 'Kujiuzuru' Saa ngapi au lini kwa 'Upuuzi' wenu usiovumilika mlioufanya Jana na ulioacha 'Hasira' Kali Mioyoni mwa Wapenda Michezo wote nchini Tanzania GENTAMYCINE nikiwemo pia?
 

tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
821
1,000
Mimi pía ni shabiki wa SIMBA lakini naiunga mkono Yanga kwa kile walichokifanya

Huo ndio UANAUME,, simamia msimamo kulingana na kanuni na sheria zinavyosema

Lakini, KARIA na KASONGO waondoke,, wawajibike kwa kujiuzulu

Kuliacha hili jambo lipite hivi hivi pasipo watu kuwajibika ni kudharauliana
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,769
2,000
Ukisema nawananga inatosha hakuna haja ya kusema nawananga halafu unaweka mabano unasema " nawasema" Ninyi wazanaki kiswahili kinawapiga chenga sana
 

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
2,356
2,000
Yaani haiwezekani umeshaagana na Mwanamke kuwa utamkanyaga ( utamngono ) Saa 11 na tayari hata 'Mkuyenge' nao umeuandaa ( umeunoa ) vilivyo ili kukutana na 'Mbunye' ghafla muda unabadilika na kuahidiwa baadae tena. Kiukweli inaboa, inakera na Kupandisha sana 'Hasira' hasa pale ukiwa na 'Nyege' za Pipa zima la Konoike au Strabag" Mwisho wa kunukuu
 

jumanne12

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
359
250
Ebanaee Hawa TFF wajipange kukivua kiatu kmewabana pamoja na waziri awajibike na najiuliza zile pesa walizolipa kiingilio ndo wananchi wameibiwa bila huruma halafu wanajinadi wanatetea wananchi masikini.
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,769
2,000
Ebanaee Hawa tff wajipange kukivua kiatu kmewabana pamoja na waziri awajibike na najiuliza zile pesa walizolipa kiingilio ndo wananchi wameibiwa bila huruma halafu wanajinadi wanatetea wananchi masikini
Pesa zitaenda kwenye miradi mingine
 

Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
1,239
2,000
''Bahati mbaya Yanga SC wanainukuu tofauti kanuni namba 10 kifungu kidogo cha 15 kuhusu taarifa ya kubadilisha muda wa mechi chini ya masaa 24, hawataki kufika mpaka chini ambako inaeleza kama kuna dharura yoyote mechi inaweza kubadilishwa muda wowote''
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,812
2,000
''Bahati mbaya Yanga SC wanainukuu tofauti kanuni namba 10 kifungu kidogo cha 15 kuhusu taarifa ya kubadilisha muda wa mechi chini ya masaa 24, hawataki kufika mpaka chini ambako inaeleza kama kuna dharura yoyote mechi inaweza kubadilishwa muda wowote''
Haya mkuu tupe hiyo dharula iliyotoa game saa 11 kwenda saa 1 usiku
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom