Yanga pamoja na ukubwa wao wanastahili wadhibiwe kwa uongo na upotoshaji

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,947
2,000
1620559015055.png


1620559049377.png
 

road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,825
2,000
Nasikia Yanga na Azam ilisogezwa mbele muda na Yanga walicheza
Nikasikia Yanga na biashara muda ulisogezwa na yanga walicheza
Hata jana ingekua Yanga na Ihefu Yanga wangecheza !!!Tatizo ni Simba !!!
Nina uhakika jana Yanga walikua wanajua nini kitawakuta
 

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,947
2,000
Yanga ilianza hata kabla ya baba yako hajazaliwa , Yanga itakuwepo wakati wewe umeenda zako, sote tumeikuta Yanga na tutaicha Yanga kama kawaida,yanga ni taasisi isiyo rasmi ndio ujue hivyo, waambie akina Karai na Machungwa waache ujinga.
Nani kaikuta Yanga - mie- mie sikuvaa nepi wala pumps ushike adabu mie siyo kizazi chako cha hovyo
 

Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
3,296
2,000
Nani kaikuta Yanga - mie- mie sikuvaa nepi wala pumps ushike adabu mie siyo kizazi chako cha hovyoKati ya wajinga wewe umezidi kabisa

Ulishaona wapi timu ambayo haikuingia uwanjani inapigwa faini?

Walipaswa simbatff wapewe point basi

Kwa nn refa hakufanya hivyo

Kama yanga imevunja Sheria kilipaswa kifanyike hicho kwa kuwa Yanga hawakufanya kosa basi wako sahihi ndiyo maana mavuvuzela wakaahirisha mechi
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,617
2,000
Nani kaikuta Yanga - mie- mie sikuvaa nepi wala pumps ushike adabu mie siyo kizazi chako cha hovyo
Kwa tabia yako sasa naamini kabisa wewe umevaa pampas, na hata suna umepatia hospitali sio maporini kwa mangariba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom