yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa timu za Ligi Kuu isipokuwa Yanga na Simba

    Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo. Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani mkubwa sana. Yanga na Simba zishazoea (zimekariri) kuwa na uteja kwa baadhi ya timu mpka kwenda na...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

    Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi. Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji. Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO. Hii hapa ni takwimu za list season...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa sio kipimo kizuri cha kumfukuza kocha wenu

    Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa maamuzi dhidi ya kocha, mchezaji au kiongozi wa timu. Yanga Sasa isingetoka haraka vile kwenye ligi ya...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Game ya Simba na yanga iliyopangwa 11 December kusogezwa mbele?

    Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba. Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ? Nani anasogezewa mbele kipigo?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
  6. makilo

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Simba SC ni maumivu kwa Yanga

    Wakuu kwema? Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu). Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia kipindi cha mpito. Hasa baada yakufanya usajili mpya kwa wachezaji zaidi ya wa 4 wapya. Timu bado...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Simba yashindwa kuivunja rekodi ya Yanga

    Kuna rekodi hazivunjiki kama vile; Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969 Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974 Kuna rekodi zinavunjika kama; Yanga kuwa klabu pekee ya Tanzania kuingia ROBO FAINALI klabu bingwa kwa...
  8. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Hongera Kitengo cha Propaganda cha Yanga

    Mlijua tuzo zimeandaliwa kuwapa Manolo tuzo karibu zote, mkaamua kuwavalisha oversized wakina Feisal ili habari ya Mjini iwe hiyo badala ya tuzo, na kweli kila sehemu sasa hivi wanaongela mavazi ya wakina Toto badala ya washindi wa Tuzo. Hongera Manara. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanayanga tu: Yanga inakata punzi kipindi cha pili au ni mbinu zao za kiufundi?

    Inaonekana kama vile Yanga inacheza michezo tofauti kipindi cha kwanza na kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza Yanga inacheza soka Safi na la kisasa na kushinda mabao dakika za mwanzo za mechi. Kipindi Cha pili Yanga inapunguza Kasi lakini wapinzani wanashindwa kuchomoa BAO waliliofungwa ingawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Yanga inakata upepo kipindi cha pili

    Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo. Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

    Najua huko ( huku ) Mitaani sasa Gumzo ni Yanga SC 'Kanunua' kwa KMC FC na kwamba Kipa Farouq Shikalo na Beki Vicent Dante Chikupe ndiyo 'wamechomesha' kwa Kuchukua 'Mlungula' Yanga SC kwakuwa walitoka huko. Nadhani JamiiForums nzima hakuna asiyejua kuwa GENTAMYCINE Mimi ni Simba SC 'lia lia'...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yanga wagomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini wa ligi NBC mechi ya KMC

    Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo. Wadau wengi wa soka tunasubiri kusikia kauli ya TFF. Kwani hili ni tukio kubwa saana kwa mustakabari wa soka letu. Kuna mtu kaniuma...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mpira mnacheza, magoli yanafungwa na burudani tunapewa, kongole sana wananchi

    Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa ni jibu tosha ya kinachofanyika uwanjani, nawapa heko waliosajili🙌🙌🙌 N:B KMC msirudie kuipeleka...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Video: Lalamiko la Kocha wa Yanga halijaja "gafla" limeandaliwa. FF wasiliache lipite tu

    Baadhi ya viongozi wa timu hizi kubwa hasa Simba na Yanga wamekuwa na desturi ya kutengeneza mazingira ya kuonyesha kuwa wanaonewa pale mambo yanapoanza kuwaendea kombo kwenye mashindano mbali mbali kwa lengo la kutafuta huruma ya Mashabiki wao. Huu mkakati umesadia kuleta amani ya mda ndani ya...
  16. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yasema Bodi ya Ligi ya Tanzania Bara ndio inahusika na suala la ulinzi mechi za CAF CL

    Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga - Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na ulinzi wa uwanja? Nani anahusika na COVID tests? - Nani anahusika na kuruhusu mashabiki uwanjani? Nani...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF

    Tukisema hii timu ni kihuni inaendeshwa kama timu za ndondo wanakuja juu na kulalamika wanaonewa. ====== SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh11 milioni klabu ya Yanga baada ya kushindwa kujibu madai ya kuwafanyia fujo baadhi ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rivers...
  18. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu Yanga vs JKU jana

    Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo: 1. Bryson David Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa yassin. Anajua kushambulia, anajua kukaba, anajua kupiga cross, kimo kizuri cha mpira. Amemzidi mbali...
  19. avogadro

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

    MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
Back
Top Bottom