yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Saido Ntibazonkinza acha Kutulalamikia Maskani tumekuchoka bali waambie tu Yanga SC yako Ukweli

    Wewe kila ukija Maskani Mikocheni Kupiga Stori na Kukutana na Marafiki zako Wanamuziki wa Bendi za Dansi kutoka Congo DR kazi yako ni Kulalamikia tu. Unasema unachukizwa na Klabu ya Yanga kukufanya Wewe ndiyo Mkalimani wa Kocha Mkuu Nabi badala ya kuwa Wanakupanga ucheze Uwanjani. Tulikuonya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

    Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi. Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
  3. Sheikh23

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar, mwandishi anayesumbuliwa na mafanikio ya Yanga

    Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo ya Dstv,M_bet na Asas. Mbali na kutafuta umaarufu mavi[emoji90],mwandishi huyu anaitumia yanga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

    Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji. Taifa Nafasi Africa...
  6. demigod

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

    Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada. Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa. Kiufupi iko hivi: Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana...
  7. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Wakati wa uchaguzi pombe, tisheti na kofia hutuchagulia Viongozi

    Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia. Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani” Pengine mateso hayo mnayoyapata ni...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wale mnaosubiria Matokeo ya leo ya Yanga SC na Geita Gold huku mkijua Kocha wao Msaidizi Fred Minziro ni Yanga SC lia lia poleni sana

    Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka...
  10. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

    makolo mulibwanji Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka nasema hivii watulie dawa iingie
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ahadi za 10M zinatolewa na GSM kupitia viongozi ambao ni Yanga

    Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM. Sina shida wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

    Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho. Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu...
  13. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

    Hayawiii Hayawiii, Siku Imewadia, Ni mtanange wa Kukata Na Shoka Katika Ya Kagera Sugar na Yanga, Timu hizi Zinakutana zote zikiwa na Wachezaji Wengi Wapya. Uwanja Mzuri, Teams Nzuri Zikicheza leo Pale Kaitaba Kagera. Je Timu ya Wananchi Itaanza Vizuri Mchezo wake wa Kwanza Wa Ligi Kuu? Au...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kitendo cha Kocha wa Kagera Sugar FC Baraza Kupiga Picha leo na Makocha wa Yanga SC Nabi na Kaze, kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    Naomba Mdau yoyote yule mwenye Picha za Makocha wa Timu za Ligi za Ulaya au hata tu za Misri na Afrika Kusini ambao wakiwa wanacheza Kesho yake basi hukutana kwa kupiga stori Mbili Tatu na kama pia Kimchezo huwa inaruhusiwa. Asante sana Kocha Mkuu wa Kagera Sugar FC Baraza kwa Kutuandaa mapema...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

    Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio...
  16. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu ustaadh ndio kawabeba Yanga ngao ya jamii

    Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo

    Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa wachezaji, makocha, na wadhamini wa timu. Wanagombanisha wachezaji kwa wachezaji, wachezaji na makocha...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

    Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
  20. demigod

    JamiiForums Tanzania Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

    Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia...
Back
Top Bottom