Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko.

Najua Watu wengi mnashangaa na Kujiuliza ni Kwanini Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara kuelekea Mechi ya Watani wa Jadi yuko Kimya na hajafanya zile Media Tour zake za Kuinadi Yanga SC na Kupromoti Mchezo husika.

Kwa Taarifa ambazo Mightier huwa nazipata Kiuwepesi mno ( japo Yanga SC hudhani wanazificha zisijulikane ) zinasema kwamba Kitendo cha Hassan Bumbuli kumsema ( kumchamba ) Antonio Nugaz kimemshtua na Kumuogopa a Haji Manara ambaye nae Kaamua Kususa Kuinadi ( Kuipromoti ) Mechi husika.

Hivi sasa katika Kurugenzi ( Kitengo ) cha Mawasiliano ( Habari ) cha Yanga SC kuna Mpasuko mkubwa sana zinazoambatana na Chuki za chini chini na Kuhujumiana kwa Maafisa Waandamizi Wawili Hassan Bumbuli na Haji Manara.

Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli ( chini ya Mwenyekiti Dkt. Msolla ) anatuhumiwa na Msemaji Mwenzake Haji Manara kuwa anamfitinisha kwa Wanachama wa Yanga SC hali iliyopelekea Yeye ( Manara ) Kutengwa katika Mikakati na Maandalizi ya Mechi ya Kesho kwa Kutoaminika na Kuhisiwa ni Msaliti.

Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara ( chini ya Injinia Hersi ) anatuhumiwa na Msemaji Mwenzake Hassan Bumbuli kuwa anatumia Ukaribu wake na Matajiri wa GSM katika Kumfitinisha Kwao ili Yeye ( Bumbuli ) aondoshwe rasmi na Kitengo chote kiwe chini yake.

Kitendo cha Msemaji Haji Manara kuamua Kukaa Kimya ( hasa katika Kutoizungumzia ) Mechi ya Derby ya Kesho katika Redio mbalimbali kama ilivyokuwa Kawaida yake kimetafsiriwa kuwa amesusa na kukasirika kwani Kamati ya Ufundi ( Uchawi ) inayoroga Mechi ya Kesho imeonya kuwa Haji Manara atengwe Kwanza katika Mikakati ya Mchezo wa Kesho.

Na namalizia kwa kuwapeni nilichohakikishiwa na Chanzo changu aminika ndani ya Klabu ya Yanga kuwa endapo Kesho Yanga SC itafungwa ( na Mightier najua Yanga SC watafungwa ) ni kwamba Mmoja kati ya Msemaji Hassan Bumbuli na Haji Manara ataondolewa rasmi akisindikizana na Kocha Nabi ambaye tayari ameshaliandaa Begi lake liko Standby kwani Kesho ndiyo mwisho wake Kuwa Kocha wa Yanga SC na Nafasi yake itachukuliwa na Kocha Cedric Kaze ambaye atasaidiwa na Mzawa Mkongwe huku Kocha Mwinyi Zahera akiteuliwa rasmi kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga SC.

Yanga SC mtawaficha Wote juu ya yanayoendelea huko Klabuni na Kambini Kwenu, ila siyo Mimi Mightier kwani nawajua kuliko mnavyojijua na mlipo nipo na najua tokea jana mnahangaika kutafuta Maiti ili mkaifukie Uwanjani ( kama Kawaida yenu ) ila hamjafanikiwa bado na jana niliwaonya na nipo macho nanyi juu ya hili na Ole wenu muitoe kwani nitawaumbua pamoja na hiyo Hospitali Kudadadeki.

Haji Manara pole na hapo bado sana kwani Mabalaa zaidi yanakujia na yakumbuke maneno ya Antonio Nugaz aliyokuambia Ghorofani Posta Mpya kuwa ASANTE KWA ULIYOMFANYIA, ANAMUACHIA MWENYEZI MUNGU na kwamba MALIPO NI HAPA HAPA Duniani.
 
Naam #bring back our Nuguz
 
Yanga bila kuloga hawatoki kesho. kwa hali ilivyo wanafanya kila mbinu ili washinde match. maana wasiposhinda kuna upepo mbaya sana utavuma pale jangwani. kwa hiyo hii match kwa yanga ni muhimu mno kushinda kuliko ilivyo kwa simba
 
Nyau kaacha kuloga lini ama unasahau lile paka shume linalokatisha uwanja
 
Popoma Mightier juzi kati ulikuja na thread ya kutuaminisha kua yanga alitoa 'mkwanja' mnono na angeshinda ile mechi dhidi ya Rivers.

Pia nyuma ukaja na hekaya kua wazee wa Simba wamecharuka na wamemmaimdi sana Haji Manara na ukatuambia hapa jukwaani kua siku za Haki Manara zilikua chache sana hapa duniani.

Siku si nyingi leo umekuja na hii thread,

Je huoni kama unajipunguzia uaminifu hapa jukwaani?
 
Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko.

Najua Watu wengi mnashangaa na Kujiuliza ni Kwanini Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara kuelekea Mechi ya Watani wa Jadi yuko Kimya na hajafanya zile Media Tour zake za Kuinadi Yanga SC na Kupromoti Mchezo husika.

Kwa Taarifa ambazo Mightier huwa nazipata Kiuwepesi mno ( japo Yanga SC hudhani wanazificha zisijulikane ) zinasema kwamba Kitendo cha Hassan Bumbuli kumsema ( kumchamba ) Antonio Nugaz kimemshtua na Kumuogopa a Haji Manara ambaye nae Kaamua Kususa Kuinadi ( Kuipromoti ) Mechi husika.

Hivi sasa katika Kurugenzi ( Kitengo ) cha Mawasiliano ( Habari ) cha Yanga SC kuna Mpasuko mkubwa sana zinazoambatana na Chuki za chini chini na Kuhujumiana kwa Maafisa Waandamizi Wawili Hassan Bumbuli na Haji Manara.

Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli ( chini ya Mwenyekiti Dkt. Msolla ) anatuhumiwa na Msemaji Mwenzake Haji Manara kuwa anamfitinisha kwa Wanachama wa Yanga SC hali iliyopelekea Yeye ( Manara ) Kutengwa katika Mikakati na Maandalizi ya Mechi ya Kesho kwa Kutoaminika na Kuhisiwa ni Msaliti.

Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara ( chini ya Injinia Hersi ) anatuhumiwa na Msemaji Mwenzake Hassan Bumbuli kuwa anatumia Ukaribu wake na Matajiri wa GSM katika Kumfitinisha Kwao ili Yeye ( Bumbuli ) aondoshwe rasmi na Kitengo chote kiwe chini yake.

Kitendo cha Msemaji Haji Manara kuamua Kukaa Kimya ( hasa katika Kutoizungumzia ) Mechi ya Derby ya Kesho katika Redio mbalimbali kama ilivyokuwa Kawaida yake kimetafsiriwa kuwa amesusa na kukasirika kwani Kamati ya Ufundi ( Uchawi ) inayoroga Mechi ya Kesho imeonya kuwa Haji Manara atengwe Kwanza katika Mikakati ya Mchezo wa Kesho.

Na namalizia kwa kuwapeni nilichohakikishiwa na Chanzo changu aminika ndani ya Klabu ya Yanga kuwa endapo Kesho Yanga SC itafungwa ( na Mightier najua Yanga SC watafungwa ) ni kwamba Mmoja kati ya Msemaji Hassan Bumbuli na Haji Manara ataondolewa rasmi akisindikizana na Kocha Nabi ambaye tayari ameshaliandaa Begi lake liko Standby kwani Kesho ndiyo mwisho wake Kuwa Kocha wa Yanga SC na Nafasi yake itachukuliwa na Kocha Cedric Kaze ambaye atasaidiwa na Mzawa Mkongwe huku Kocha Mwinyi Zahera akiteuliwa rasmi kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga SC.

Yanga SC mtawaficha Wote juu ya yanayoendelea huko Klabuni na Kambini Kwenu, ila siyo Mimi Mightier kwani nawajua kuliko mnavyojijua na mlipo nipo na najua tokea jana mnahangaika kutafuta Maiti ili mkaifukie Uwanjani ( kama Kawaida yenu ) ila hamjafanikiwa bado na jana niliwaonya na nipo macho nanyi juu ya hili na Ole wenu muitoe kwani nitawaumbua pamoja na hiyo Hospitali Kudadadeki.

Haji Manara pole na hapo bado sana kwani Mabalaa zaidi yanakujia na yakumbuke maneno ya Antonio Nugaz aliyokuambia Ghorofani Posta Mpya kuwa ASANTE KWA ULIYOMFANYIA, ANAMUACHIA MWENYEZI MUNGU na kwamba MALIPO NI HAPA HAPA Duniani.
Acha umbeya! Fanya kazi.
 
Back
Top Bottom