yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Askofu Gwajima sina Shida na REDE CUP yako ila Waambie wahusika wakiwa Wanacheza na kutuona Wanaume wasiwe wanajibinua na kuyatikisa

    Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.
  3. U

    JamiiForums Tanzania "Kugundua Hazina Yako ya Kipekee: Njia ya Kugundua Kipaji Chako"

    1.kutafakari juu ya mambo unayopenda kufanya katika wakati wako wa ziada. 2.Jifunze juu ya mambo mbalimbali. Kusoma na utafiti vinaweza kukusaidia kugundua masomo unayopenda na kuwa na kipaji. 3.Jaribu vitu vipya.Kujaribu shughuli tofauti kutakusaidia kugundua vipaji visivyokuwa vya kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania Usiiharibu tabia yako kwa mazungumzo yako

    Biblia inatufundisha kuwa Mazungumzo mabaya ndiyo yanayoharibu tabia njema ya mtu. 1Wakorintho 15:33 “Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema”. Maandilizi ya dhambi karibia zote yanaanzia katika “mazungumzo”.. wanaopanga kuua wanaanzia na mazungumzo, wanaopanga kuiba wanaanzia...
  5. JamiiForums Tanzania Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

    Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake. Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa. Nilipotarget...
  6. JamiiForums Tanzania Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

    Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
  7. JamiiForums Tanzania Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuvaa pete ya ndoa ni nini wakati ndoa ni yako binafsi?

    Ni utamduni uliozoeleka na bila shaka ni wa kimagharibi zaidi ingawa uko dunia nzima. Swali ni je, kwanini uonyeshe kuwa umeoa au umeolewa? Kuna mahala watu hatambulika kwa ndoa? Kama ni kulinda ndoa, ndio iwe kwa kuvaa pete? Je, hii si mbinu ya kulazimisha watu kuheshimu ndoa? Mfungwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  11. JamiiForums Tanzania Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman… Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo. Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
  12. JamiiForums Tanzania Safari yako ya mafanikio bado ndefu

    Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio. 1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream. 2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza. 3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila...
  13. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers. Pia soma 👇👇...
  14. JamiiForums Tanzania Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

    Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible. 👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi. Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi. 👉Fast furius vs mission impossible.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mambo yako huku ACT Wazakendo

    Hiki Chama kinajua kula na kipofu na sasa wanakata mbuga na wananchi walio wengi wameanza kukielewa kwa kasi. Ijulikane tu wametia mguu ndani ya serikali ya Zanzibar na sasa ni zaidi ya mwendo kasi wakidai mamlaka kamili ya Tanganyika na mamlaka kamili ya Zanzibar ili waTanzania wajielewe...
  16. JamiiForums Tanzania Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

    Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana. Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii...
  17. JamiiForums Tanzania Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

    Huyu ni Beyonce wa mwaka 1999 na mwaka 2023. Ndo kwanza anazidi kuwa mtoto! Uzee unazuilika!
  19. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  20. JamiiForums Tanzania Jifunze kuilinda sadaka yako kama Abram alivyozilinda zake

    Mwanzo 15, Ibrahim alielekezwa na Mungu atoe sadaka ili apate kuhakikishiwa hatma ya maisha yake. Aliziandaa akazilinda hadi jioni tai na mbwa mwitu wasije wakazitafuna. Alifanikiwa hadi jioni mpaka zilipoleta matokeo. Watu wengi hawanufaiki na sadaka zao kwa sababu hawazilindi. Wanatoa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…