Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Screenshot_20230930-224913.png

Huyu ni Beyonce wa mwaka 1999 na mwaka 2023. Ndo kwanza anazidi kuwa mtoto!

Uzee unazuilika!
 
Unasema huyo .kuna vidume vilikuwa miaka 1000+.
Na kuna mwaka tangu azaliwe hajafa
 
Hivi ni kwanini wanawake munaoneana wivu
FaizaFoxy lazima aone wivu. Usikute yeye kazaliwa 1999 maziwa yamelala kama dekio, sura imekomaa mpk make up zinadunda. Bado kanenepeana minyama inqning'inia kama utumbo wa nyongeza.

Kwa ubaya huo anaachaje kumuonea wivu Beyonce mwenye umri wa mamake lkn bado anang'ara ?
 
Back
Top Bottom