Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,172
25,486
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.

download.jpeg
download (1).png
 
Mkuu nahitaji ushauri, nataka ni install Kali linux kwenye flash drive, vipi naweza tembea na hiyo flash nkifika kwenye computer ya mtu mwingine naiweka naboot kuingia kwenye hio kali, is that possible.
Chief-Mkwawa karibu na wewe mkuu utoe ushauri.
 
Ndio inawezekana mkuu, sijawahi fanya kwa kali ila distro nyingi za linux zinakubali kuweka kwenye flash na ku boot tokea kwenye flash.

Sema kwa baadhi ya computer itabidi ucheze na bios kuiambia iboot na flash maana zitafanya priority ya kuboot na os ambayo ipo kwenye storage ya computer.
 
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.

View attachment 2772888View attachment 2772889
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer Unamaanisha nini?au unataka watu wanunuwe Windows orignall kutoka Microsoft office? hebu tupe ufafanuzi zaidi hapo.
 
Mkuu nahitaji ushauri, nataka ni install Kali linux kwenye flash drive, vipi naweza tembea na hiyo flash nkifika kwenye computer ya mtu mwingine naiweka naboot kuingia kwenye hio kali, is that possible.
Chief-Mkwawa karibu na wewe mkuu utoe ushauri.
Inawezekana Ila sio kwa hizi kali za kawaida ingia google tafuta kali live image hiyo inakuwa ukichomia flash umeondoka na kila kitu then download version unayotaka alafu tengeneza bootable yake kisha endelea ku injoi maisha kabla hujafa chief
 
Back
Top Bottom