Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,027
45,584
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.

Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.

Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.

So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
 
A very yellow Chevrolet Corvette C8.

1000140703.jpg
 
Natamani kurusha mwewe na ni kitu nakiwaza sana .Sasa kwa mujibu wa bandiko lako hili mbona bado kwangu
 
Hiyo law of attraction hata mimi huwa naitumia, niliweka nadhiri ya kupata gari na baada ya mwaka nikapata kweli gari katika mazingira ya ajabu sana.
 
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani .ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa...
Ni kumwomba MUNGU tu atengeneze njia zako tu ......
 
Natamani kurusha mwewe na ni kitu nakiwaza sana .Sasa kwa mujibu wa bandiko lako hili mbona bado kwangu
Unabidi kuwa unaweka Nguvu ya frequency na vibration viendane tofauti na hapo haiwezekani
 
Back
Top Bottom