yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  2. JamiiForums Tanzania Ukitulia kabisa na ukaitumikisha vyema Akili yako kwa Taarifa hii hapa chini unaelewa nini?

    Wauguzi 1330 Wamefeli Mitihani yao Chanzo: Magazetini Leo Ushauri wangu tu GENTAMYCINE kama kuna Mtu kwa sasa anataka Kuwekeza katika Biashara ili apate Faida Kubwa sana awekeze katika Biashara ya Majeneza, Sanda na Uchimbaji wa Makaburi hutokuja Kujutia.. Na nawakumbushenu tu kuwa hata mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Unalisha familia ya Demu, vipi kuhusu yako?

    Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake? Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu. Kwa mfano Demu amekuomba 10,000 na wewe una 12,000 hakikisha unatuma 11,500 kwenu kwa Bi Mkubwa halafu Jero inayobaki...
  4. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke kwa nyimbo

    Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake. Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi… Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako. Warning!! zingatia...
  5. JamiiForums Tanzania ukiweza ku balance hisia zako utafanikisha matamanio yako!

    hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!. mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio utafaulu hapana bali ukiweza ku balance hisia zako ndio utafaulu!. kwa maana ukizishinda sana hisia...
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
  7. JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, umeichoka na kuikinai nafasi yako chamani?

    Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
  9. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuviondoa kwenye CV yako mwaka 2024 (Things to remove from your CV in 2024)

    1. Career Objective: Avoid starting your CV with a generic career objective that focuses on what you seek rather than highlighting your value to the role. You can include an objective if you are doing a career pivot or if you are a fresh graduate. 2. Personal Information: Omit details like home...
  10. JamiiForums Tanzania Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Soma bila kupita , Kisha toa Maoni yako

    Moja ya jambo serikali inatakiwa kutake kwa umakini sana ni eneo la mahusiano, naona kuwa serikali inatakiwa kuanzisha somo la mahusiano kuanzia primary hadi university level. Naweza Sema mahusiano ni Kila kitu, vijana wengi wanapoteza dira ya maisha sababu hasa ukitazama ni eneo mahusiano...
  12. JamiiForums Tanzania Kijana usijaribu kumsaidia binti jambo lolote au kiasi chochote cha pesa kama huyo binti si ndugu yako

    Kichwa cha habari kinahusika. Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada. Hawana cha kukupa zaidi ya UTI Hawana shukrani Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Nakutafutia location/center nzuri ya Uhakika kwa biashara yako

    Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji. Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
  14. JamiiForums Tanzania Unajiskiaje pale unapofanya mambo yako kwenye simu au PC halafu akaja mtoto kuangalia unachofanya

    Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya? Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
  15. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
  16. JamiiForums Tanzania Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela. Utaliona sokomoko, pindi ukiishiwa. Tena utakua kituko, na talaka utapewa. Utaitwa mbwa Koko, au...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla hujaisema serikali kushindwa jiangalie wewe mwenyewe umeweza kuongoza Familia yako

    Habari za Mwaka Mpya Wakuu! Kuna Watu ni wepesi sana kutoa vibanzi katika macho ya wenzao ilhali wao wako na boriti. Serikali imeshindwa! Rais gani huyo! Viongozi wa nchi hii ni wajinga sana! Maneno ni mengi. Sawa. Ni haki yao. Lakini Haki inapotea pale ambapo mtu hastahili kukosoa kile...
  18. JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  19. JamiiForums Tanzania Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

    Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe". Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
  20. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…