Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
NYOTA YAKO LEO JUMATANO JUNI 25/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Tulia nyumbani na marafiki...
Ndugu yako aliyekufa, anatamani kuongea na wewe, lakini wewe hufahamu njia ya kukuwezesha kuongea naye. Inawezekana mambo yamekuwa magumu na unaamini unahitaji ushauri wake, inawezekana umemkumbuka tu na ungependa uzungumze naye, na inawezekana alifariki mkiwa katika ugomvi sasa unataka mmalize...
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa...
Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa!
Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ]
Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali.
Je wewe mdau ushawahi kulazwa hospitalini ukasitisha kuendelea na matibabu? Au ulishiriki kumsitishia ndugu yako matibabu?
Je...
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Usijishughulishe na mambo ambayo...
Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF ,
Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako ,
Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa.
Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na...
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 22/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Utafutaji wako wa pesa ambao...
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya napenda kutoa somo zuri sana kuhusiana na utoaji wa chanjo kwa magonjwa hatari kwa mifugo yako.
Kuna aina nyingi za chanjo ambazo tunawapatia mifugo yetu kuepuka hatari ya mlipuko kwenye shamba la mifugo.
Kuna aina nyingi za chanjo mfano...
Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo.
Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster za mimea nyumbani kwa kutumia viambato vya asili au vya bei nafuu vilivyopo sokoni. Hii ni nzuri...
👉Habari za muda huu wafugaji, natumaini nyote ni wazima .napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako;
✅ Huduma Bora kwa Mifugo:
1. Utoaji wa Dawa za Minyoo (Deworming):
- Kuzuia na kutibu minyoo ya ndani na nje.
2. Chanjo (Vaccination):
- Kuzuia magonjwa hatari kama chambavu...
Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame.
Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata.
Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji chetu kama sio kata nzima basi ni mzee wangu pekee ndo alikuwa nayo tena motorola.
Basi bro yangu...
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Leo jitahidi kutekeleza ahadi...
Habari za Leo!
Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako.
Je ni Negative au positive?
Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.