Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,092
- 7,108
Nguo yako ni ipi ambayo unaviaa kwenye matukio muhimu na ukiivaa unajiona umewaka kinoma noma
hapo nikitupia jinsi na sharti mikono milefu ya draft.Nguo yako ni ipi ambayo iyo unaviaa kwenye matukio muhimu na ukiivaa unajiona umewaka kinoma noma
Mbona mikali tu mkuuwacha wee
Ila miwan mmmh
miwan kama wanaingia majin kuogeleaMbona mikali tu mkuu
Swaggermiwan kama wanaingia majin kuogelea
Mikato flani mikali sana shati za draft na jeans ni combo moja nzuri sanahapo nikitupia jinsi na sharti mikono milefu ya draft.
Mkonon saa
Miguun viatu simple iv...
Hapo najikuta atari
swagger swaggan.Swagger
saaana.. Yan hapo popote unaenda, iwe ukweni, kanisan hata mtokoMikato flani mikali sana shati za draft na jeans ni combo moja nzuri sana
Tumekukosea nini kaka🥹swagger swaggan.
Bila shaka hawa watakua dada zetu wakisukuma.
Huwa nacheka mim mdada kavaa viatu vyenye kisigino kirefu.
Anavotembea sasa daa unamwona kabsa anahangaika
Kabisa mkuu, kuna jeans na Tshirt form sixsaaana.. Yan hapo popote unaenda, iwe ukweni, kanisan hata mtoko
hamjanikosea ndo mtembee mwondoko kama mnataka kudondoka kwel?Tumekukosea nini kaka
hizo high heels huwa hutembei kama unavuruga tope majaruban kwel?Napenda kuvaa suruali na sneakers mara nyingi kwa sababu zinanifanya nijisikie comfortable nguo ya juu inategemea aina ya suruali niliyoivaa
High heels hivi viatu na huu mwili lol navaa mara chache sana, labda kwenye matukio maalumu kama church
ebhana eeh hizi wear style ndo za ki gentleman zaid na hii haijawah kuchuja.Kabisa mkuu, kuna jeans na Tshirt form six
😁😁 hapana natembea vizuri ila siwi comfortable nawahi kuchokahizo high heels huwa hutembei kama unavuruga tope majaruban kwel?