Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Habari wakuu?
Je kwa muktadha huu ni nini maoni au ushauri wako?
Karibuni
Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, akisisitiza kuwa sadaka hizo haziendi mbinguni wala hazichukuliwi na malaika, bali zinabaki hapa duniani kwa ajili ya kuendeshea shughuli za...
showcase za kuhamishika..
boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako..
seble yako inakuwa 🔥🔥
boss wangu ww jiamulie mambo tu😁 kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako..
tupo dar mbagala 0692477610
Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini?
Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali 😎.
Mshana Jr
Mbaga Jr
Mzee...
Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?
Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima.
Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya gari fulani kuanzia kipindi fulani mpaka kipindi fulani, hakuna ujumbe mwingine. Kwenye mfumo wa...
Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri”
Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
Salute!
Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu
Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi.
Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
Peculiar Enterprises Ltd tunabuni na kutengeneza mifumo ya kisasa kwa biashara, kampuni, taasisi na organizations za aina zote.
Huduma zetu ni pamoja na:
✅ Corporate & Company Management Systems
✅ Project Management Systems
✅ Financial & Business Management Systems
✅ Websites za kampuni na...
Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control)
Unafikiri unaitawala simu yako.
Hapana.
Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure.
Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
Wqkuu salama?
Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni.
Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi.
2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili
kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili na saikolojia kwa ujumla ambayo dalili hiyo inakutaka kuwahi katika...
Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili.
Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa.
Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...
ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa.
2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI.
Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu.
Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
Kuota ndoto kwa binadamu ni kawaida kabisa na kuna ndoto zitokanazo na rekodi ya ubongo ambazo hazina athari yeyote na si za kutilia maanani.
Lakini kuna ndoto zingine hutakiwi kuzipuuza kabisa mfano mm nilikuwaga siamini kabisa kuhusu utabiri wa ndoto lakini kilicho nitokea mwaka juzi...
Usuli
Shindano la stories of change lilianzishwa na JamiiForums mnamo mwaka wa 2021 na kufanyika mfululizo kila mwaka hadi mwaka 2024. Katika hali isiyotarajiwa na wanachama wote wa JF, mwaka wa 2025 shindano hili halikufanyika kabisa.
Kama mnavyofahamu, shindano hili hufuatiwa na uchambuzi wa...
UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨
Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”.
Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA.
Pazia si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.